Ommy Dimpoz punguza kubana pua

mimikaye

Member
Jun 5, 2013
88
48
Dah! hapa imetoka kupigwa dangushima, dogo anabana sana pua its so annoying. Huyu dogo ki ukweli sauti hakuna ni pua kwenda mbele.

Jamani please wekeni Top 10 ya wabana pua tuwajue, wanaboa kweli, wanabebwa na beat tu!
 
mimihapauk

Hujawahi kuwasikia husein machozi na voice wonder wewe! Hawa jamaa hawabani ila wanagandamiza pua kabisa tena wanagandamiza kwa ngumi
 
Last edited by a moderator:
Nahisi ni upuuzi akiwa Live..jamaa ni pua na kujilegeza sauti...
sauti zero
 
Hujawahi kuwasikia husein machozi na voice wonder wewe! Hawa jamaa hawabani ila wanagandamiza pua kabisa tena wanagandamiza kwa ngumi

Hawa nikisikia nyimbo zao wananichefua ka nini nazima au nabadilisha station kabisa wanaume wazima kubana pua ina bore sijui nani aliwaambia wakiimba hivo wanatokelezea
 
mkuu ushaiskia sauti ya voice wonder? nakudediketia ngoma yake inaitwa "nimpende nani" afu unimpe mrejesho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom