Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Alikiba the so called King(Japo ni King Wa Ndotoni)Huyu Kaka Ni Mshamba Sana,Ni Kweli yeye ni Msanii Poa,Na Aliwahi Kufanya Vizuri Huko Nyuma(Japo Hakuwahi Kufika Hats Robo Ya Balaa La Juma Nature...
4 Reactions
55 Replies
11K Views
Dada zetu wale wanaojiita boss ladies hapa mjini watataabika saaana baada ya wanaowafadhili na kuwaweka mjini kwa kuwapa kiburi cha fedha kubanwa vilivyo na serikali ya awamu ya tano... Amini...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Alianza na ule wimbo wake wa mdogo mdogo. Ila tangu na hapo nilijua kwa kuwa huyu jamaa ni mwanamuziki ipo siku ataweka sawa mambo yake. Ndio akaanza na mdogo mdogo. Sasa kaja na huu wa mkungu wa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wadau hivi ile adhabu ya Shilole aka Shishi baby kufungiwa mwaka mmoja imekwisha lini? Cheki link ifuatayo hapa chini? Picha 20 Shilole, Linah, Baba Levo walivyoidondosha burudani Zanzibar -...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
  • Closed
Kwenye tease ya Mkasi, producer mkali bongo Nisher ameulizwa "Are you straight?" akabaki kujiumauma.... Kabla hajajibu swali hilo ikakatwa hiyo part ili kuleta uhondo Jumatatu ijayo... Does that...
3 Reactions
251 Replies
42K Views
Hatimaye D.Platanzania ajishindia Tuzo za #THEHEADIS za nchini naijeria kwenye kategori ya MsaniiBoraBaraniAfrka. Kinyang'anyiro hicho wakiwemo akina Cosper Nyovest,Uhuru,AKA na Sarkodie. -Tuzo...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Tupia hapa jina la member ambae huu mwaka amefanya ulipende jukwaa la celebrities kwa michango yake na useme kwa kiufupi unapenda nini kwake au ni topic gani ilikufuraisha toka kwake ili tufunge...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Kati ya mashabiki waliokuwa wakikupigania huku mtaani Ni mm! Kati ya mashabiki waliokuwa wakiperuzi page zako za facebook,instagram na tweeter kila saa Ni Mimi! Kati ya shabiki ambaye nili...
17 Reactions
165 Replies
21K Views
Ilianza mdogo mdogo Naona ligi imenoga sasa hii ndo kiboko kabisa ya kufungia mwaka
5 Reactions
141 Replies
25K Views
Gazeti la Business Daily/Magazine nchini Kenya limetoa orodha ya video za music zilizotazamwa zaidi mwaka huu. ona diamond na alikiba walichovuna. 1. Nasema nawe- diamond 2. see you again- wiz...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Katika page yake ya instagram, super star wema sepetu aka mama ubaya amewataka wote wanaompigia kelele kuhusu kuzaa mtoto wamkome, kwani hana mpango huo kwa sasa. Hiki ndicho alicho kipost...
1 Reactions
276 Replies
39K Views
Mimi ni mshabiki wa Ommy Dimpoz kitambo kidogo tangu anatoa nainai lakini siku hizi ananiangusha sana tangu wanjera na hii mpya ya sasa achia body ambayo kimsingi nyimbo imekosa ubunifu, nyimbo...
2 Reactions
89 Replies
17K Views
Kuna bifu kubwa linaendelea chini chini kati ya Diamond Platinumz na binamu yake na mtu wake wa karibu Rommy Jones. Chanzo cha bifu hilo japo wenyewe hawataki kuweka wazi inasemekana ni...
6 Reactions
145 Replies
27K Views
Habari wana JamiiForums, Leo nimebahatika kukutana na wimbo mpya wa kundi jipya linaitwa Salam TMK linalodhaminiwa na mkubwa fella. Aisee ni nouma. Kuna baadhi wako chini lakini madogo wanajua...
1 Reactions
30 Replies
17K Views
Baada ya kushangaza ulimwengu kwa kuvunja record kadhaa, D kaja na rekodi mpya ya kufungia mwaka kwa kufikisha followers million 1.5 Instagram. Hakuna celebrity yeyote wa Afrika kafikisha hii...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Hapa wadau tuangalie Hit Song zake tangia ujio wake Wa "THE RETURN OF THE KING" -Tangia ajiite KING ameehit song moja tu ya mwana.I do think kuna Song ambayo imeehit tofauti na Mwana? Zaidi ya...
1 Reactions
44 Replies
8K Views
Habarini Katika msimu wa sikukuu kuna show 2 kubwa zimefanyika! Ni ile show ya Diamomdplatnumz (SIMBA) Na Ali Kiba (BALOZI WA WANYAMA) Diamond kafanya show ake tarehe 25 pale Dar live kwa...
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Wimbo wa Utanipenda wa Diamond platnumz umezidi kuteka hisia za watu wa kila rika, kila nchi, kila lugha, kila itikadi kutokana na ukali wa wimbo Mh Zitto Kabwe ameguswa na kuamua kufanyia...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Msanii wa maigizo nchini, Jackline Wolper Masawe, ambaye pia ameshiriki kama video queen kwenye wimbo mpya wa msanii Diamond Platnums huitwao Utanipenda, amefunguka ya moyoni kupitia mtandao wake...
1 Reactions
45 Replies
11K Views
Tarehe 25 jana siku ya Christmas, Diamond alikuwa na show ya funga mwaka pale Darlive watu,watu walijitokeza kwa wingi sana kiasi kwamba hakuna pa kutema mate, ukinyanyua mguu hakuna pa kuweka na...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…