Ni kweli Wema amehamishia penzi kwa Mkongo?

Status
Not open for further replies.

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Habarini.....

Leo insta naona kuna Maneno yanaendelea chini chini kubwa Bi dada wetu Wema Isack Sepetu sasa Amehamishia penzi kwa Mcongo Man anae itwa APOCALYPSEBELLA Millionea Mmoja ambae ameingia Mjini Siku za hivi Karibuni

Picha zimeanza kuzagaa chini chini zikionesha Wema akiwa na Huyo mkongo ambae amefikia hoteli fulani kubwa hapa Dar!

Katika ukurasa wake wa insta Apocalypsebella amempost Wema akionesha ni Sweartheart wake!

Huku wema Machungu ya Mimba kutoka yakiwa hayajaisha leo anakula bata na kumsahahu kijana wetu Idrissa ambae amekuwa akipambana na watu kuhakikisha kuwa Wema hashambuliwi kwa maneno na kuonesha kuwa akimpenda sana! Watu wamevapia page ya idrissa na kumpa pole sana hadi idrissa kupanic!

Kikubwa watu wanacho mshauri wema ni kuwa awe Makini maana inasemekana Mkongo anatabia Ambayo sio nzuri hasa za kuchukua video wakati akiwa ana s.x na mtu!

Amaa kweli Wema ni sikio La kufa
 
Naona Mambo yanazidi kunoga
 
Attachments

  • 1455898795138.jpg
    1455898795138.jpg
    42.1 KB · Views: 57
Mkongo kaamua Kujibu kwenye Page ya Idriss
 
Attachments

  • 1455898886176.jpg
    1455898886176.jpg
    42.1 KB · Views: 70
kweli ubaya ni jamvi la wageni hipsi litazidi poromoka itabidi tulitafutie mavyuma kama wanayotumia kujenga maghorofa
 
Habarini.....

Leo insta naona kuna Maneno yanaendelea chini chini kubwa Bi dada wetu Wema Isack Sepetu sasa Amehamishia penzi kwa Mcongo Man anae itwa APOCALYPSEBELLA Millionea Mmoja ambae ameingia Mjini Siku za hivi Karibuni

Picha zimeanza kuzagaa chini chini zikionesha Wema akiwa na Huyo mkongo ambae amefikia hoteli fulani kubwa hapa Dar!

Katika ukurasa wake wa insta Apocalypsebella amempost Wema akionesha ni Sweartheart wake!

Huku wema Machungu ya Mimba kutoka yakiwa hayajaisha leo anakula bata na kumsahahu kijana wetu Idrissa ambae amekuwa akipambana na watu kuhakikisha kuwa Wema hashambuliwi kwa maneno na kuonesha kuwa akimpenda sana! Watu wamevapia page ya idrissa na kumpa pole sana hadi idrissa kupanic!

Kikubwa watu wanacho mshauri wema ni kuwa awe Makini maana inasemekana Mkongo anatabia Ambayo sio nzuri hasa za kuchukua video wakati akiwa ana s.x na mtu!

Amaa kweli Wema ni sikio La kufa
duuh kama ucheche tu huyu dada ni kiboko,kila cku mwanaume mpya aisee!!!!!
 
Itabidi atahiriwe kwa nguvu ili atulie Tu, inatakiwa hilo harage likatwe lote
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom