Mume wa Zari na wenzake wakamatwa Afrika Kusini

maatope

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
1,424
956
Mme wa zari ambaye pia ni mganga wa kienyeji(sangoma)amekamatwa huko south africa kwa sababu ambazo hazijulikani ila najua umeshajua ni kwa nini???wazee wa mgumashi maana deal zao ni kama za ustaaazi j na musoo.... au chief ki creature

South African based Ugandan ‘Sangomas’ popularly known as The Rich Gang have been arrested.

Reliable sources have told us that first to be arrested was Lawrence Kiyingi aka King Lawrence.

Other members of The Rich Gang include; Ivan Semwanga, Shafiq Katumba (Katsha) and Eddie Kyeyune (Ed Chuene) among others.

“King Lawrence was arrested early this week. However; the reason for his arrest is scanty” a source privy to this information intimated to us.

Much as we are informed that only Lawrence Kiyingi aka King Lawrence has been arrested, fears are that all other members of ‘The Rich Gang’ have also been arrested on the same offense.

“These guys stay together and do similar jobs. They have a lot in common not only here in Uganda, but in South Africa and so, if King Lawrence is arrested, so are others.

Interpol Director Asan Kasingye in an interview with this reporter on Thursday confirmed the arrest of Lawrence Kiyingi but quickly said the reason for his arrest is being gathered.

“Somebody called me early last week and told me King Lawrence has been arrested” He confirmed adding, “We have sent information to our colleagues in Pretoria to find out the truth of his arrest in South Africa”

He however added: “There could even be more arrested along with King Lawrence”

Kasingye also noted that the arrest of The Rich Gang members-does not get him by surprise regarding the numerous accusations on the quadruple at his desk both from South Africa and within by members of the public.

“It won’t come to me as a surprise. I have these accusations from South Africa and other members of the public here in Uganda but i want to get proper facts about their arrest”
 
ina maana hamjui kama jamaa ni sangoma?ila u sangoma wao kama wa chief ki creature..wamefungua na shule ya kuzugia ,ni matapeli wakubwa,mmewe zari alienda south africa kupitia zambia kwa bus mwaka 2000 kwa kuungaunga akakamatwa mpakani,ila namsifu in 15 years amekuwa tajiri mkubwa kabisa hata kama ni magumashi
 
Hata mimi sikua najua kama hao jamaa ni masangoma...

Labda hata hawa walifuata huduma..
Screenshot_2016-02-01-15-29-42_zpsyosizfcq.png
 
ina maana hamjui kama jamaa ni sangoma?ila u sangoma wao kama wa chief ki creature..wamefungua na shule ya kuzugia ,ni matapeli wakubwa,mmewe zari alienda south africa kupitia zambia kwa bus mwaka 2000 kwa kuungaunga akakamatwa mpakani,ila namsifu in 15 years amekuwa tajiri mkubwa kabisa hata kama ni magumashi
Kwa hiyo utajiri ukipatikana kwa magumashi poa tu?

Hata kama hao Sangoma wanadanganya watu kuua zeruzeru?
 
Jipu kivipi sasa kwani hiyo habari inamhusu pia zari?!
Fafanua mkuu
Kwa hio mkuu una amini Zari amekata mahusiano na huyo mmewe
Zari demu Don town kitambo
So biashara zote na Ivan wanaendeleza
Na hii inakuja ku athiri familia hii mpya yake na diamond mtoto wa tandale
Km kweli ni majanga na sio uzushi
 
ina maana hamjui kama jamaa ni sangoma?ila u sangoma wao kama wa chief ki creature..wamefungua na shule ya kuzugia ,ni matapeli wakubwa,mmewe zari alienda south africa kupitia zambia kwa bus mwaka 2000 kwa kuungaunga akakamatwa mpakani,ila namsifu in 15 years amekuwa tajiri mkubwa kabisa hata kama ni magumashi
Kuna wabongo pia wanapiga deal hizo km Jackob "the Best"anasumbua sana Kino akija bongo.
 
Sasa imekuaje mondi akampora mke kama yeye ni sangoma, si amloge tu arudishe mke
 
Kwa hio mkuu una amini Zari amekata mahusiano na huyo mmewe
Zari demu Don town kitambo
So biashara zote na Ivan wanaendeleza
Na hii inakuja ku athiri familia hii mpya yake na diamond mtoto wa tandale
Km kweli ni majanga na sio uzushi
Sasa kijana mdogo hujawahi kuoa wala kuzaa unajenga mahusiano na mwanamke mwenye watoto watatu na mume tena kutoka nchi ambayo wanajinasibu kuwa 'superior' kwa watz ulitegemea nini!?
 
Back
Top Bottom