Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 33,207
- 74,799
Hali si hali,balaa tupu Instagram kumechafuka ndani ya dakika 20 alizozitoa Super Star kutoka Nigeria Teknomiles hazijatosha kwani comments za wadau wa umbea zimefika 1000 na zaidi!
Yote haya yalianza baada ya mwanamuziki huyo (yes ni mwanamuziki na sio msanii) kuja nchini kwenye tamasha la muziki la siku ya kuamkia mwaka mpya tarehe 31 Alhamis iliyopita,sasa wadada wa mujini kama kawaida yao kila mmoja akataka kulala na Star huyo (what a shame).
Vita kubwa ilikuwa kati ya Lulu na Gigy Money (mwanadada anayetafuta umaarufu kwa nguvu mjini hapa)
Leo mchana huu mwamuziki huyo kutoka Nigeria katuacha midomo wazi kwa alichopost Instagram kama ifuatavyo....
Cha kujiuliza ni nani kamfundisha kiswahili tena kilichonyooka namna hii?
Tuliowahi tumescreen shot,jioneeni wenyewe....

Last edited by a moderator: