screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,829
- 15,791
Nimejaribu kufuatilia mahojiano mengi anayofanya huyu dada kwenye kipindi chake cha Sporah Show, kuna vitu ananishangaza, kupenda kuuliza maswali ya ajabu ajabu yasiyohusiana na kazi (maswali ya private life), na pia kubwa zaidi lililonifanya nifungue huu uzi ni hili la kupenda Sana kuulizia ishu za mapenzi (mahusiano), hata Kama huyo muhojiwa hapendi kuzungumzia atamchokonoa tu, nimejikuta nikitamani kuijua CV yake kwa wanaomjua wenda ana degree ya mahaba namlaumu bure!
Mfano mahojiano haya
https://m.youtube.com/view_comment?...r86uDo9qBqQGD6KDxv5+94QsYASAdKKGW3Yq46LOQJg==
Mfano mahojiano haya
https://m.youtube.com/view_comment?...r86uDo9qBqQGD6KDxv5+94QsYASAdKKGW3Yq46LOQJg==