Jack Pemba na jeuri ya fedha

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,422

Aliyekuwa mume wa super star aunty ezekiel, aitwaye Jack Pemba pesa imeonekana ikizidi kumtembelea baada ya hivi karibuni kuonekana nchini Uganda akifanya kufuru ya aina yake , ambapo alikuwa akiosha moja kati ya magari yake ya kifahari aina ya range rover kwa kutumia Mvinyo wa bei mbaya huku akitumia ma dolali kufuta gari lake hilo, hali iliyozua gumzo jijini Uganda na kuwaacha watu midomo wazi.

Mume wa msanii huyo inadaiwa anafanya biashara nchini Uganda ikiwemo ya kumiliki makampuni kadhaa ya magari pamoja na maduka mbali mbali nchini humo
 
Hivi huyo shangazi ezekiel kaolewa mara ngapi hadi sasa!? kuna kipindi alioelewa dubai na jamaa kama katoto kanaitwa sunday demonte waliishia wapi?
 
huyo jack bdo mshamba 2 na sifa za kijinga......wenye hela hawana showoff kma zke akiishiwa tena ndio mwisho wke
 
Ulishamskia Moh Dewji anafanya mambo kama hayo huyu Dogo Jack tumpe muda tu .
 
Halafu ukienda kucheki kodi kwa mwaka amelipa kiasi gani unaweza kuta 1.5m, hawa ndio watu wakuwakomalie walipe kodi na kama ni ela za magumashi ndio itajulikana hapo.
 
Aliyekuwa mume wa super star aunty ezekiel, aitwaye Jack Pemba pesa imeonekana ikizidi kumtembelea baada ya hivi karibuni kuonekana nchini Uganda akifanya kufuru ya aina yake , ambapo alikuwa akiosha moja kati ya magari yake ya kifahari aina ya range rover kwa kutumia Mvinyo wa bei mbaya huku akitumia ma dolali kufuta gari lake hilo, hali iliyozua gumzo jijini Uganda na kuwaacha watu midomo wazi.

Mume wa msanii huyo inadaiwa anafanya biashara nchini Uganda ikiwemo ya kumiliki makampuni kadhaa ya magari pamoja na maduka mbali mbali nchini humo

Anafanya biashara gani ?
 
Back
Top Bottom