Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Papa Wemba ana "watoto wengi sana, idadi yao haifahamiki". Watoto hawa wamezagaa ndani ya DR Congo na Nje. Kwa sasa wanaendelea kuwasajili kabla ya maziko yake Jumanne ijayo!!!! REST IN PEACE...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Site Features: Account & Page Verified Feature Create Page Create Group Post upload Audio upload Video upload Product Selling Link Attachment For Bloggers Embed Youtube Videos Chat Messenger...
1 Reactions
1 Replies
830 Views
Cherekochereko! Msanii wa filamu za Kibongo, Meya Shaban ‘Aki wa Bongo Muvi’ ameachana na ukapera baada ya kufunga ndoa na msanii mwenzake, Amina Shaban, Ijumaa Wikienda lilikuwepo ndani ya...
1 Reactions
62 Replies
19K Views
Darasa kwa mda huu ndio msanii bora wa Hip hop hapa Tanzania mana mashairi yake ni matamu na yanaelimisha na kutia moyo,
2 Reactions
55 Replies
8K Views
Sio Simba sio chui sio mamba,ngozi yangu inatosha kujigamba na sina maneno ya kwenye kanga yani kazi juu ya kazi yani bamba to Bamba!!!!!!!! Hili litakuwa Dongo kwa team Fulani ila sisi ambao...
12 Reactions
169 Replies
22K Views
Huyu jamaa angekuwa rais wa Tanzania nafikiri mambo mengi yangekuwa mazuri. We vuta picha ametoa bil 9 na ushee kama rambi rambi kutoka mfukoni kwake sasa sidhani angekuwa rais wa Tanzania kama...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Video ya Eric Omondi yamtoa povu Barakah The Prince Baada ya Eric Omondi kuachia video ya parody ya wimbo wa ‘Kuliko Jana’ wa Sauti Sol, msanii wa Bongo Fleva Barakah The Prince amemjia juu...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
1.Diamond Huu jamaa katengenza hela nyingi sana mwaka kuanzia kwny endorsement zake, show, kuuza mziki kwny digital platform plus label yake inayomwingzia mkwnja day after day 2.A.Y Japo jamaa...
1 Reactions
78 Replies
8K Views
Happy birthday Gambe and mamaa Mengi ilaa mmepoozaa siku hizi khaa tunaishia kuonaa tu mkipiga picha hahaha mkiwa mmekaa nyumabani no kutoka nowdays. All in all nawatakia kila la heri maishani mwenu.
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Le Mutuz ndio ni akili kubwa lakini kutwa nzima kukaa na kulia lia kuomba Kura kwenye Mitandao
3 Reactions
67 Replies
6K Views
IT'S A NEW ERA !!! Kwa mwaka 2016 Darasa amefanya mziki mkubwa sana TZ na kutoa nyimbo Kali, bila kuharibu mwenyewe anakwambia bampa to bampa hajakosea mwaka mzima ye anatoa nyimbo za taifa tu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Haya,Kokoro inakimbiza.
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Huyu mdada ni mkali sana!! Pengine hata kuliko Mondi Anaimba hadi unaweza kulia
10 Reactions
82 Replies
11K Views
Ile timu Janja janja au maarufu kama timu manunuzi,ikiongozwa na msanii wa kimataifa mwenye mbinu za kijanja janja DIAMOND PLATNUMZ alikuwa nchini Zimbabwe (Zim) kwaajili ya shoo moja...
12 Reactions
125 Replies
13K Views
Tukiwa tunakaribia kufunga mwaka naomba nitoe list ya macelbrities ambao ni mabest looser wa mwaka huu, kwa kweli list ni ndefu sana ila naomba nimuandike huyu manake ndo kaloose kila kitu na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Diamond PLATNUMZ amechagulia kwenye tuzo za RadioAfroAustrali-2016 katika category ya Song of the year-2016 kwa wimbo wa kidogo.
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Ommy Dimpoz ni miongoni mwa wasanii wanaoimba vizuri sana bongo ukilinganisha na wasanii wengine ananipa jeuri ya kusema kwamba ni miongoni mwa wasanii watano wakubwa katika game ya bongo fleva...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Moyo mashine ni mashine kweli.... King Kiba halambi kitu hapo. Samahani,, ndo ukweli. Go Go Go Go vote guys. Ben Pol Moyo Mashine. #povuu
1 Reactions
37 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…