Habari wakuu.
Kwa waliopata nafasi ya kucheki video mpya ya msanii wa kike kutoka nigeria Chidinma na wimbo wake wa "Fallen in love" watakubaliana namimi katika hili. Huu wimbo wa bimdada...
Picha ya cover la Vibe Magazine, lililotoka siku ya jana, imeonekana kutengeneza gumzo miongoni mwa raia kibao, hasa kutokana na suruali na viatu alivyokuwa amevaa msanii Ommy Dimpoz.
watu wengi...
Msanii Irene Uwoya amesema sasa hivi haigizi tena movie kwa kuwa soko lake limedoda na badala yake atakuwa anacheza series kwani ndio zinazouza
Ila amedai kuna movie walizocheza zamani zinakuwa...
Baada ya kusikia kijana kapewa dhamana nikadhani itakuw vyema dogo atakuwa amekuw sasa kutokan na balaa lililomkuta na post zake insta sasa leo nafungua insta nakuta ni kama ameweuka sasa matusi...
Tunajua wimbo wa Bado wa Harmonize na Diamond umetoka kitambo kidogo na video yake ilifanyikia South.
Nachojiuliza ilikuwaje Ali Kiba na Ommy Dimpoz wakaamua nao wakafanyie video eneo lile lile...
Msanii Dully sykes alimind watangazaji waliokuwa wanamhoji baada ya kumuuliza kuhusu bifu la diamond na ommy dimpoz
Dully amesema hawezi kujibu hilo sababu huo ni u-shilawadu na yeye hapendi na...
Who doesn't know diamond!? Who
Every body does!!
Diamond has proved himself to be most brilliant Artist over all African artist from Tz.I know you could say Nigerian ,For Nigerian the musical...
Baada ya wiki chache kupita toka msanii wa bongo fleva, ommy dimpozi, kupost picha kwenye ukurusa wake wa instagram, ikimuonyesha staa huyo akiwa amevaa suruali inayoonyesha kitu chenye muonekano...
Msanii Young Dee amedai Tunda ni mpenzi wake na hawajawahi kuachana, pia amesema anampga ushauri wa kumbadilisha kwenye maisha ndio maana anapagawa naye sana
Habari ya mjini kwa sasa ni kuwa hitmaker wa ngoma ya mziki na too much Darasa yupo mbioni kutia wino ndani ya WCB
Si huyo tu pia mwanadada mwenye sauti inayomtoa nyoka pangoni ambaye pia ni...
Katika pita pita zangu huko nimekutana na hii
Male, 39 years old | Never Married
Dar Es Salaam, Dar Es Salaam
New in here, but someone special is needed
Am looking for someone who is me, but in...
Ni Bony Wilfried mchezaji wa Manchester City anayecheza kwa mkopo katika club ya Stoke City. Angalia hii clip ya Instagram kutoka kwenye verified account yake.
Wanajamvi wasalaam,
Baada ya Ommary Nyemo kumtuhumu wazi wazi Nassibu Abduli kuwa ana nunua views na tunzo bila kuwa na uthibitisho na bila aibu Ommary Nyemo ili kuwathibitishia watu kuwa kuwa...
Tunda amechoka kuulizwa maswali kuhusiana na kuonekana kwenye video ya Diamond ya wimbo Salome aliomshirikisha Ray Vanny. Ni kwasababu anajiuliza, iweje ameshaonekana kwenye video takriban 10...
Nani mkali, Ali Kiba au Diamond?
Kuna mashabiki vindakindaki ukiwachokoza kwenye mada hiyo, wanaweza kurusha ngumi kwa kubishana. Wasanii hao wawili wameweza kutengeneza Simba na Yanga yao. Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.