Video ya Eric Omondi yamtoa povu Barakah The Prince


chilamanyika

chilamanyika

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2016
Messages
291
Likes
192
Points
60
Age
37
chilamanyika

chilamanyika

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2016
291 192 60
Video ya Eric Omondi yamtoa povu Barakah The Prince

Baada ya Eric Omondi kuachia video ya parody ya wimbo wa ‘Kuliko Jana’ wa Sauti Sol, msanii wa Bongo Fleva Barakah The Prince amemjia juu mchekeshaji huyo.

Hitmaker huyo wa Nisamehe ameonyeshwa kuchukizwa na baadhi ya vipande vya kwenye video hiyo na kuamua kuweka wazi kupitia mtandao wa Instagram.

Kupitia mtandao huo, Barakah ameandika:

Ukiona unakosa cha kuchekesha watu bora utafute kazi nyingine ya kufanya kuliko alichofanya huyu sijui ndio anaitwa nan…kawakosea sana watu wote wenye imani ya kikristo…tafuta kazi nyingine… maana vichekesho nahisi umefikia mwisho…huyu jamaaa kafanya asubuhi yangu kuwa mbaya sana..shukuru wakristo ni wapole..ukifanya kitu ichi kwa Muslim..ungefanywa mfano..

 
chilamanyika

chilamanyika

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2016
Messages
291
Likes
192
Points
60
Age
37
chilamanyika

chilamanyika

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2016
291 192 60
Ni hatali
 
samsun

samsun

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Messages
7,432
Likes
5,082
Points
280
samsun

samsun

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2014
7,432 5,082 280
Kwani video original ambayo yeye "kaigerezea" ya hao Sauti sol haiko hivo ........??
 
dexterous

dexterous

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
1,094
Likes
869
Points
280
dexterous

dexterous

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2014
1,094 869 280
Kawakosea kitu gani maana katumia maneno yaleyale ya wimbo wa saut sol.. Labd jinsi alivyoigiza kama yesu
 
DEOD 360

DEOD 360

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Messages
2,629
Likes
3,714
Points
280
DEOD 360

DEOD 360

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2016
2,629 3,714 280
Uyu dogo vp siangekausha tu angeimbwa yy nadhani angetoa povu more than omo

Sent from my GT-S5301 using JamiiForums mobile app
 
G 6

G 6

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Messages
509
Likes
232
Points
60
G 6

G 6

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2016
509 232 60
Kwani video original ambayo yeye "kaigerezea" ya hao Sauti sol haiko hivo ........??
Unatuuliza au unatupa jibu? Kafanye research halafu uje na jibu hapa usipende kuropoka
 
G 6

G 6

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Messages
509
Likes
232
Points
60
G 6

G 6

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2016
509 232 60
Eric omondi masikio yamezidi kichwa anajisahau
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,083
Likes
16,612
Points
280
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,083 16,612 280
Baraka toka amekuwa karibu na Kiba amekuwa mtu mwenye kiherehere sana cha mitandaoni na kujifanya ana hisia kuliko hisia zenyewe...kitu kidogo ana kikuza...
Sijaona ubaya wowote kwenye hiyo video....
Kwani kwenye video original hakukuwa na mwizi pale?
 
MartinDavid

MartinDavid

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2009
Messages
876
Likes
46
Points
45
MartinDavid

MartinDavid

JF-Expert Member
Joined May 22, 2009
876 46 45
Eric omondi Hana tatizo ila tatizo Ni kwa wakristu wanaoamini Brian Decon Ni yesu.
RAMA NYIE MNAOUWA WATU AMBAO HAWANA HATIA JE....

TUACHE NA IMAN YETU BAKI NA YA KWAKO...
 
Graph

Graph

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Messages
1,810
Likes
3,751
Points
280
Graph

Graph

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2016
1,810 3,751 280
Nadhani jamaa ka~react kitoto bila kufikiria, yeye anadhani Omondi anamkejeli Yesu kwa kukaa msalaba ulioandikwa "Mwizi Forgiven" ila anasahau kitu kimoja, kua Yesu aliwekwa msalabani pamoja na watu wengine wawili ambapo moja wao alikua ni mwizi ambaye Yesu alimsamehe, kwa hiyo Omondi anaweza kua alikua anamuigiza yule mwizi aliyesamehewa.

Ni vizuri kutumia akili kidogo kabla ya kukurupuka mwisho wa siku mtu anaaibika kama hivi kwa kua alipata wrong idea. Watu wa dini hua mna mihemko ya ajabu mkiweka akili pembeni.
 
agata edward

agata edward

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2014
Messages
4,629
Likes
6,031
Points
280
Age
28
agata edward

agata edward

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2014
4,629 6,031 280
Huyo nae kwanza wakristu hatupo hivyo tunaunyenyekevu na hekima,na sheria ya kuwekwa msalabani kwa wayaudi ni kitu cha kawaida kwa muharifu yeyote.
 
Gaspare Mbile

Gaspare Mbile

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2016
Messages
1,419
Likes
1,345
Points
280
Age
31
Gaspare Mbile

Gaspare Mbile

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2016
1,419 1,345 280
Kwani yeye ndo wa kwanza kuigiza akiwa msalabani? Huyu Baraka kafilisika kimawazo.
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
46,229
Likes
33,394
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
46,229 33,394 280
Hio cross mbona wahalifu pia walitu dikwa hapo..?
 
maghambo619

maghambo619

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Messages
799
Likes
256
Points
80
maghambo619

maghambo619

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2012
799 256 80
Video ipo kawaida sana ingawa alichokisema Baraka de Prince ni kweli.
Hapo angekua ni mtume Leo hii Kuna majengo yangeungua moto!
 
usser

usser

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2015
Messages
10,921
Likes
9,244
Points
280
usser

usser

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2015
10,921 9,244 280
Eric n mavi sana na mnauunga mkono wote n taira km yy
 
Gondwe

Gondwe

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2014
Messages
234
Likes
162
Points
60
Gondwe

Gondwe

JF-Expert Member
Joined May 30, 2014
234 162 60
Huyo nae kwanza wakristu hatupo hivyo tunaunyenyekevu na hekima,na sheria ya kuwekwa msalabani kwa wayaudi ni kitu cha kawaida kwa muharifu yeyote.
Kwa hiyo jesus alikuwa muhalifu hadi wamtundike msalabani?
 

Forum statistics

Threads 1,275,228
Members 490,947
Posts 30,536,206