Diamond and Darasa time

homboyz

Senior Member
Oct 19, 2016
127
139
IT'S A NEW ERA !!!
Kwa mwaka 2016 Darasa amefanya mziki mkubwa sana TZ na kutoa nyimbo Kali, bila kuharibu mwenyewe anakwambia bampa to bampa hajakosea mwaka mzima ye anatoa nyimbo za taifa tu.. KAMA UTANIPENDA, TOO MUCH na MUZIKI ndo zimekuwa hot songs 2016

Performance za kibabe jeshi la mtu mmoja Angalia fiesta, Angalia show za after skull bush ni ukweli usiopingika amekuwa anapata shangwe la nguvu kuliko alikiba ambaye yupo anapiga show TZ sana na tatu kenya, moja alienda kuwasindikiza saut soul S.A

KWA BONGO DARASA AMEPIGA SHOW ZA KIBABE SANA KULIKO ALIKIBA
NI MUDA MUAFAKA KWAKE KUJITANUA KIMATAIFA NA HUKO SASA YEYE WATASHINDANI WA DOMO KUUTANGAZA MUZIKI WA BONGO ABROAD
 
Bora kuwepo na stori za wasanii wengine,ila ingependeza tuwazungumzie hao wengine bila kuwataja hao waliozoeleka,maana kama tunaendelea kuwataja hakuna tunachokipromoti.
 
umeongea point ila kumtaja Ali kwenye Uzi wako umeharibu maana yote ya uzi wako


haya nenda kachukue buku 7 yako Madale
 
Yes, Darassa liko safi sana. Likipata management nzuri kama ya Diamond sipati picha litafika wapi
 
Nyimbo nyingi za wabana pua zisizokua na kichwa wala miguu zinatamba kwa sababu wasanii wakali hawatoi nyimbo kali,Darasa kadhihirisha hilo,Muziki na maisha ndo wimbo wa taifa kwa sasa,hakuna cha kokoro wala kukuru
 
Yes, Darassa liko safi sana. Likipata management nzuri kama ya Diamond sipati picha litafika wapi
Darassa ni mtu na akili zake timamu hawezi kusimamiwa na hao mameneja wajanja wajanja wamtumie alafu wampige chini.

Kama wao kweli mahodari mbona wameshindwa kumrudisha Chid Beenz kwenye nafasi yake?!
 
Back
Top Bottom