Hatimaye Alikiba amekabidhiwa tuzo yake ya MTV EMA – Best African Act aliyoshinda mwaka jana.
Staa huyo wa Aje amekabidhiwa tuzo hiyo nchini Afrika Kusini alikoenda kwaajili ya ziara yake ya...
Leo nimetokea kuwakumbuka members wawili wa ECT iliyokuwa ikiundwa na AY, FA, GK, SNARE NA PAULINE ZONGO wazee wa upanga east wako wapi snare na pauline zongo?!
Nimeikumbuka sana ngoma ya snare...
Wasalaam wana jamvi.
Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Diva The Bosslady amefunguka kwa kudai kuwa hawezi kudate na mwanaume ambaye hajui kuongea kingereza kwa kuwa yeye katika...
Ñimebahatik kuisikia nyimbo yake mpya kijuso ukweli uwezo wa huyu dada ni mdogo na nyimbo yake yakawaida
Ila naomba tumsupport kwa kuwa ni mwanamke wa kwanz kutok wcb tusimkatishe tamaa
Baada ya kufanya vizuri na hit songs kadhaa zilizompelekea kufanya shows nyingi hatimaye mkali huyo wa kujiamini katika game ya Bongo Flava Elibariki Munisi maarufu kama Nay wa Mitego ameyaweka...
Nashindwa kuelewa kwanini MAULID KITENGE anapenda kufanya matangazo na kidude masikioni(blue tooth receiver) huo ni ulemavu au ushamba... Au ndo identity yake!!!
Za chini kwa chini tunaambiwa kuna producer wa Filamu Bongo anataka kuwakutanisha Zari na Wema Sepetu katika movie moja matata na yupo tayari kuwapa mkwanja watakaohitaji kupitia sponsor but...
Ni juzi tu umetoka polisi kwa kesi ya madawa ya kulevya, na video clip yako imeonekana kwenye mitandao kiukweli kutokana na ulivyoongea ni dhahiri kuwa umejifunza kitu,umeongea kwa hisia na kwa...
Baada ya fununu na malalamiko mengi hatimaye Diamond nae kaitwa kutoa maelezo polisi.
Hata hivyo,bado haijafahamika kaitwa kwa tuhuma gani.
Tetesi ni kwa kosa la kuendesha gari huku akicheza...
Kati ya wasanii (wanaodaiwa 'kula unga') ambao huwa nikiwaona walivyopungua na kupoteza mwili mzuri waliokuwa nao hapo awali ni Chid Benz.
Je, kuna ambae kwa upande wako anakusikitisha?
Msanii wa bongo movie Wastara amemchana mpenzi wake wa sasa Bond kwamba asipojirekebisha baadhi ya tabia zake atamuacha na akimwacha hatarudi tena kwake.
Hata hivyo Wastara amesema anaweza...
Msanii Kala Pina akihojiwa na E News ya EATV amesema ametumia fedha nyingi sana kumsaidia Chid Benz ila anasikitika juhudi zake hazijazaa matunda na kusema angepata msaada zaidi angefanikiwa...
Msanii pekee wa Kimataifa kutoka ardhi ya Tanzania ambaye amefanya kolabo kibao na wasanii kutoka nchi ya Donald Trump kama Ne-Yo. Rihana, Rossey, leo kupitia akaunti yake ya Instagram ametupia...
Wakuu hivi ni kwa nini wanamuziki wa kizazi hiki hawavai uhusika wa mwanamke kulinganisha na wanamuziki wa miaka ya 90?
Tuchukulie baadhi kama Sam mapangala, mbaraka mwishehe nk ni kawaida sana...
Mchekeshaji maarufu kutoka nchini Kenya, Erick Omondi ijumaa iliyopita ya tarehe 10 alifunguka jinsi Diamond alivyomsaidia kupenya kwenye soko la Tanzania.
Omondi anasema kwa mara ya kwanza...
Akihojiwa na kituo maarufu cha radio mjini, staa na mpenzi wa mwanamuziki maarufu nchini Diamond Platinumz, Zarinah Hassan, amesema kuwa hakuna kilichomvutia kwa mwanamuziki huyo ila wamejikuta tu...
Baada ya kufanikiwa kulinyakua taji la Miss Tanzania 2016/2017 na kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya kumtafuta mrembo wa dunia huko nchini Marekani mwishoni mwa mwaka jana, mrembo Diana...
Fid Q
WIMBO unaokuwa mzuri na umekamilika kuanzia sauti, uimbaji, utayarishaji na ikiwezekana video nzuri ni rahisi kutamba, lakini katika dunia ya sasa kuna vigezo vya ziada vimekuwa...
Msanii wa mziki wa kizazi kipya NAY WAMITEGO amesema kuwa yeye yuko mbiyoni na wazo la siku za usoni, kujenga kanisa nakulimiliki yeye mwenyewe .
Alipoulizwa sababu ya kujenga kanisa msanii huyo...
Leo Makonda alimtaja mtu mmoja na kusema amkute polisi leo hii.
Hope atakuwa ni PAPA sana. Jina ametaja "Chidd Mapenzi".
Huyu ni nani? Wanaomjua watusaidie file lake tafadhali.
Anaishi wapi? N.k.