Maulid Kitenge na Bluetooth receiver

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,354
Nashindwa kuelewa kwanini MAULID KITENGE anapenda kufanya matangazo na kidude masikioni(blue tooth receiver) huo ni ulemavu au ushamba... Au ndo identity yake!!!
unnamed (21).jpg
 
Ni kama Millard Ayo
huwa anavaa earphone za rangi nyeupe.. Maranyingi sana unamkuta nazo, hadi alipoenda Asia kwenye tamasha la huawei akaitwa kwenye stage alizavaa na pale alikuwa anatazamwa na dunia nzima..
So nadhani ni mazoea..
Ni kama Temba na toothpick.
 
View attachment 471494
Mkuu kwani hiyo Bluetooth receiver inaathili namana gani usikivu wako anapotangaza?? Kama unampenda Maulid Kitenge basi mpende yeye na acha afanye maisha yake binafsi.
 
Ni kama Millard Ayo
huwa anavaa earphone za rangi nyeupe.. Maranyingi sana unamkuta nazo, hadi alipoenda Asia kwenye tamasha la huawei akaitwa kwenye stage alizavaa na pale alikuwa anatazamwa na dunia nzima..
So nadhani ni mazoea..
Ni kama Temba na toothpick.
Umeua hapo kwa Temba na tooth pick
 
Ni kama Millard Ayo
huwa anavaa earphone za rangi nyeupe.. Maranyingi sana unamkuta nazo, hadi alipoenda Asia kwenye tamasha la huawei akaitwa kwenye stage alizavaa na pale alikuwa anatazamwa na dunia nzima..
So nadhani ni mazoea..
Ni kama Temba na toothpick.
Umemaliza. Ni kama mwalimu na kifimbo. Kila mtu ana kastaili kake
 
Back
Top Bottom