Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Msanii pekee wa Kimataifa kutoka ardhi ya Tanzania ambaye amefanya kolabo kibao na wasanii kutoka nchi ya Donald Trump kama Ne-Yo. Rihana, Rossey, leo kupitia akaunti yake ya Instagram ametupia picha ya gari yake mpya yenye hadhi ya wasanii wa kimataifa kama akina Jay Z, Kanye West, Birdman, Weezy na Breezy aina ya Rolls-Royce . Pamoja na hayo SIMBA himself ametoboka tena kiasi cha pesa za madafu milioni 10 (10,000,000) kulipia jina maalum la SIMBA.