Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

Nadhami imefika wakati wasanii katika vyama vyao wawe na kamati ya maadili au kitengo maalumu cha kuzuia watumia unga au bangi na mirungi..

Hii itasaidia kuepusha vitu vingi ikiwemo kuwaepusha wasanii kuwa addicted na madawa.

Mfano tatizo kama la Ray C au Banza stone, ni matatizo ambayo yangeweza kuepukika kungekuwa na kamati maalumu ya kusimamia code of conduct ikiwemo kuzuia na kuwa wakali kwa watumiaji wa hizo vitu.
 
Wazo zuri ila sio kwa Tanzania aisee haiwezekani wasanii wote Tanzania wanamuogopa ruge kasoro lady jaydee tu na ndo deal zake hizo je itawezekanaje mkuu?
 
Back
Top Bottom