Zari, wema kuigiza kwenye film pamoja

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,422
Za chini kwa chini tunaambiwa kuna producer wa Filamu Bongo anataka kuwakutanisha Zari na Wema Sepetu katika movie moja matata na yupo tayari kuwapa mkwanja watakaohitaji kupitia sponsor but ugumu upo kwa mafahari hao wawili kukubali kuigiza pamoja.
d133e1eeec83e86c3434a04e738be384.jpg
 
Wema naye ni fahari katika lipi mpaka useme mafahari wawili?

Halafu Itabidi waigize Wema awe bibi au mama wa kambo wa Zari halafu anamtesaaaa....ana shombooo...!

Hapo sawa.
 
Labda aongezeke na diamond na kiba, kiba awe mume wa zari, diamond wema ndo itanogaa
 
Wema naye ni fahari katika lipi mpaka useme mafahari wawili?

Halafu Itabidi waigize Wema awe bibi au mama wa kambo wa Zari halafu anamtesaaaa....ana shombooo...!

Hapo sawa.
aaah umenivunja mbavu binamu,lol
 
eti kisa wamet.mbwa na mondi ndio wamekuwa mafahali wawili☺☺☺☺☺
 
Lol

Mmoja inajulikana kama kitu hiki kikitokea itabidi alipwe 80% zaidi ya mwigine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom