Mkangaf
Senior Member
- Dec 27, 2014
- 199
- 149
Leo nimetokea kuwakumbuka members wawili wa ECT iliyokuwa ikiundwa na AY, FA, GK, SNARE NA PAULINE ZONGO wazee wa upanga east wako wapi snare na pauline zongo?!
Nimeikumbuka sana ngoma ya snare "funguo iliyopotea" na ngoma ya pauline zongo "nashindwa".
Tujue walipo tumewamiss kwenye game, even tujue hata ac zao za insta tu tosha. ni hayo tu, much love. hivi @AY au @FA hawako humu?! kweli?.

Last edited by a moderator: