Aise kweli. Mwazoni sikusikiliza. Lakini nilikuwa nacheck interview yake kwenye The Base ya ITV kwenye YouTube. Kweli alinivutia jinsi alivyoongea kwenye ile interview ikanipelekea niutafute huo wimbo. Jinsi nilivyokuwa namchukulia niliona tofauti kabisa. Yupo vizuri aisee. Kuanzia leo nitaanza kufuatilia issue zake nimeelewa ni sehemu ya utafutaji.Nadhani hapa panamfaa zaidi....kukaa uchi kwenye video za wenzake amwachie The gigy
Huo ni mtazamo wako ndugu. Kwa upande wangu ninavyoona ni kwamba.Hebu acheni masikhara, huu wimbo siyo mzuri kama mnvyotaka kutuaminisha. Ona hii kitu; sauti na ile melody iliyotumika unataka kuuweka wimbo wake kwenye nafasi ya ngapi kwenye top ten?
Achana na hizi top ten za kubebana, utamuweka namba ngapi kuna Nandy, Maua, Mwasiti, Lulu, Natasha, Dayna, Lina, Rosa Lee, Chemical, Witnesz?
Hata tukimchukua Besta wa Nakupenda aliyoimba na Dully bado huu wimbo haufui dafu...
Msimuongopee, kama anataka muziki ana safari ndefu na huu wimbo haumhakikishii kuianza hiyo safari, lazima ujue kipaji chako halisi ni kipi, usilazimishe, Amber Rose katoa nyimbo lakini ngapi ushazisikia zikiwa kwenye chart? Sasa hivi kaamua kukausha nashauri bi dada ajifue au arudi kwenye maisha ya kua video queen.
Huo ni mtazamo wako ndugu. Kwa upande wangu ninavyoona ni kwamba.
Anatakiwa ajifunze kuimba. Kwa upande wa sauti yupo vizuri anatakiwa awe na mwalimu, afanye mazoezi apate pumzi....
Ndio ndugu. Yeye ndio anaanza kadiri akiendelea anaweza fanikiwa.Ulichoniquote na kuandika, ni kirefu cha nilichotoka kuandika mimi kwa kifupi. Of course wimbo wa Gigy Money na wa Amber Lulu mimi nitausikiliza wa Amber Lulu hapo ni kama tukiwapambanisha wawili, tukiongeza wapinzani Amber Lulu ana safari ndefu, akaze buti.
hahaaaaaaa watu mna maneno, kichwa kama nini khaaaaa.Ukiachilia huyu dada kua na kichwa kama TV chogo... Huu wimbo ni mzuri and she can sing.
Unlike yule gigy mafeza.
Mi nilijua utasema ana tako kama la Kolomije rafiki ake Gwajima....Ukiachilia huyu dada kua na kichwa kama TV chogo... Huu wimbo ni mzuri and she can sing.
Unlike yule gigy mafeza.
Wimbo sio mzuri kama wanavosema nilichokiona mimi Amber anapiga kelelee tu na beat pia limembeba.. Country boy kafanya vzur kuliko mwenye wimbo ..Amber Lulu naona ajifunze kuimba Kimziki bado sanaa ila Nice trY!!Hebu acheni masikhara, huu wimbo siyo mzuri kama mnvyotaka kutuaminisha. Ona hii kitu; sauti na ile melody iliyotumika unataka kuuweka wimbo wake kwenye nafasi ya ngapi kwenye top ten?
Achana na hizi top ten za kubebana, utamuweka namba ngapi kuna Nandy, Maua, Mwasiti, Lulu, Natasha, Dayna, Lina, Rosa Lee, Chemical, Witnesz?
Hata tukimchukua Besta wa Nakupenda aliyoimba na Dully bado huu wimbo haufui dafu...
Msimuongopee, kama anataka muziki ana safari ndefu na huu wimbo haumhakikishii kuianza hiyo safari, lazima ujue kipaji chako halisi ni kipi, usilazimishe, Amber Rose katoa nyimbo lakini ngapi ushazisikia zikiwa kwenye chart? Sasa hivi kaamua kukausha nashauri bi dada ajifue au arudi kwenye maisha ya kua video queen.
Wewe unajua kuimba?Wimbo sio mzuri kama wanavosema nilichokiona mimi Amber anapiga kelelee tu na beat pia limembeba.. Country boy kafanya vzur kuliko mwenye wimbo ..Amber Lulu naona ajifunze kuimba Kimziki bado sanaa ila Nice trY!!