Jokate Vs Ali Kiba Breakup. Sitakiiii kabisaaaa bwana kama Kiba, tena anipitie kushoto

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,160
Bwana apewe sifa.

Jokate mimi binafsi namfahamuuu tulisoma kipindi kimoja. Hatukupishana sanaa miaka. Kwa wale mnaosema i am above 30 Mungu anawaona. Ila sooner or later ill be above 30 anyway na wote ndo tunaelekea huko. Jokate is 28, 29 au 30 kamil kwa kuangalia duru za miaka aliosoma.

Jokate is my role model, na Wema, na Kylyn. Why specifically ni watu wajanja wajanja mjini, kama mimi wanapenda mambo mazuri afu hawataki kifanya kazi. Just like me, they love success, living larger than life, making history ila they are not ready to toil for the sucess. Hawaishi kwa katibaaaa za ma bibi. Kwamba maisha na kuajiriwa NSSF, Kulipwa vilaki hivo na kuzeeka. They break the rules.

Jojo is not a good business lady but is ambitious. Kwa capital aliopewa na wachina, alitakiwa awe next only to Bakhresa, GSM, METL na Manji. Tatizo hakuanza ku hustle chini, ana bahati na maisha akipata wazo anapata fundings.

Mchango wa Jojo kwa kiba ni mkubwa sanaaaa, tena sanaa. Jojo is dream of many men hapa Tz. Watu kibao wanataka kumuoa Jojo leo kesho. Ila Jojo anapenda bad boys kama Dimond, Hasheem, Kiba. Wote watoto wa kitaaa, hustlers. Sasa hawa angetuachia sisi dada zao ndo tunawamudu wa uswazi wenzao.

Jojo kaanza na Kiba hata hana comeback ya kuelewekaaa. Ndo katoka kufungwa na madam Rita zaidi ya miaka sijui 4, haimbi, haingii studio, hafanyi show analelewa tu. Ndo maana madam sahivi team Mond, bado analilia penzi la Kiba.

Wengi tulisema Jojo ame downgrade, come on Kibaaaa! Mtoto wa Kariakooo. Nakumbuka mimi nilichamba ofisi nzima kuwa Jojo anayachezea maishaaa. Sasa Kiba ana nini, mwenye bahati habahatiki. Lakini her love was genuine. She was supportive of him always. Alijitoa akili. Hata kina Gigy mitako wakisema wameliwa ndogo na Kiba, she was still with him.

Kiba doesnt know how to treat his women. No wonder baby mamas wake wanne hakuna anaewajua. Na spora wa 5, sijui ndo anakamiliasha 4 hio. Mwanaume mchoyo yule sijapa kuona. Simkubali Dimond katika mambo yake ya umaluuni na kudhalilisha wanawake ila Dai anajua how to treat all his ladies.

Mmanyema mwingi yule ila anajali sanaa wanawake sanaa. Enzi za Wema mmanyema anavunja bank kila birthday ya bidada anampa magari ya nguvuuu. Hivi vimchepuko mara Dai kampangishiaa nyumba yule video queen, mara Mobeto kapew trip za south na ulaya. Yaani hakuachi mkavuu. Ukiwa mwanamke wa Dai unapata pata vitu.

Afu hajibaniiiiii yule mmanyemaa dunia nzima watajua Dai kakupendaa, atakupeleka mpaka kwa mama yake. Nisingekuwa above 40 ningejipeleka hahaa. Sasa Kiba mchoyooo anamjali mdogo wake na mama mtu na yule dada yao Zabibu. Sijawahi ona mwanaume mchoyo kama yule.

Alikuwa ana mkana Jojo. Hakuna kitu kibaya kama mwanaume kukukana mbele za watu. Amemkana Jojo zaidi hata ya mtume Petro alivomkana Yesu. Jojo yupo tu, holding strong. Hajawahi mpa kitu chochote Jojo. Raha ya kupewa upewe hadharani kama enzi Dai anampa Wema, unajiona kweli kijike, Kiba hajampa Jojo chochoteee sio birthday sio nini.

Events za Kiba jojo yupo kumsupport kama kwenye tuzo, anaenda peke yake jinaume lilivo na roho ngumu red carpet linapita peke yake, so selfish, linajopst peke yake, Jojo baadae anakuja kupost nae vipicha vyake. Hata hii ya juzi walimchunia she went maskini akakaa pembeni waka muignore ila she went.

Events za Jojo Kiba hatii mguuu. Kiba atakuwa mha si kwa roho mbaya ile. Insta Jojo anampromote Kiba watu wa vote, waangalie single, kiba hata kupost vibanio vya bae wake hata siku moja. Mwaka jana alizindua vibanio, no man to support her, Kama single lady Jojo maskinj. Kiba hajatia mguuu wala kupost.

Mpaka jana nasikiza interview maskini Jojo bado anampenda Kiba, i could see it and hear it from her. She deserves better. After everything still anampenda Kibaaa na ana msupport.

Mimi ni team Kiba damu, sio hapa nimemsifia Dai kidogo mdhani nime decamp, walaaaa ila kama advocate wa haki za wanawake Kiba apunguze kuwa Osokoni. Kwenye issue za mapenzi Dai takes the W, and Kiba please hold the big L.
 
Duu! Aiseh kwa dunia ya sasa wanamziki kama alik kiba ndio watakao tuvusha katika uchumi wa kati kama tukiadopt Marxism zao!
wanawake hawana shukran sina hamu nao muulize yule mchezaji wa nmm! Na mzee wa big brother kikubwa kwenda kama pholosphy ya awamu ya tano!
 
Duu! Aiseh kwa dunia ya sasa wanamziki kama alik kiba ndio watakao tuvusha katika uchumi wa kati kama tukiadopt Marxism zao!
wanawake hawana shukran sina hamu nao muulize yule mchezaji wa nmm! Na mzee wa big brother kikubwa kwenda kama pholosphy ya awamu ya tano!

Haaaaaa! Kiba kazidiii bwanaaa. Mwanaume mchoyo kama nini.

Hata kumu acknowledge Bae wako tu nayo inakuwa issue. Kupita red carpet na Jojo kwani sh. Ngapi.? Roho mbaya tu. Baraka ana mtreat Najma vizuri sanaaa. Ila Kiba ni jipu
 
Duu! Aiseh kwa dunia ya sasa wanamziki kama alik kiba ndio watakao tuvusha katika uchumi wa kati kama tukiadopt Marxism zao!
wanawake hawana shukran sina hamu nao muulize yule mchezaji wa nmm! Na mzee wa big brother kikubwa kwenda kama pholosphy ya awamu ya tano!

Ndio.
 
Mmh kiba mpaka kwa sporah tena.basi wa chinichini. Maybe ndivyo alivyo hajui mum treat mwanamke.au ni mtu wa private hapendi kuonyesha relationship hadharani. Hao baby mama zake sijawahi kusikia ni kina nani. Jojo she deserve better ila asitafute watu maarufu. Akichukua haohao yatakuwa ndio hayo hayo.ni mzuri ila haijui thamani yake.anajua kujieleza.ila kiba interview zake unajua kabisa hapa kama Bashite hivi.
 
Haaaaaa! Kiba kazidiii bwanaaa. Mwanaume mchoyo kama nini.

Hata kumu acknowledge Bae wako tu nayo inakuwa issue. Kupita red carpet na Jojo kwani sh. Ngapi.? Roho mbaya tu. Baraka ana mtreat Najma vizuri sanaaa. Ila Kiba ni jipu
Mkuu umenifurahisha siku hizi hata kwenda kwenye sherehe ni anasa! Maana wanaweza kukuinua walau utoe zawad ukashangaa umejilipua! Safi sana kiba japo uumechewa kuadopt falsafa hiyo
Mi ninaamin wanaume tukiadopt suala la uchumi wa kati litakuwa historia japo kuna watu wataumia!
 
zamu ya nani leo
zamu ya seveni leo
subiri zamu yako itafika kesho


huyo ndo kiba mwingine photocopy,kwanza kidoti mvumilivu sana ingekua mtu mwingine wasingedumu mda mrefu hvyo sio kwa mauzauza hayo ya kiba.dai si wa kumfananisha na kiba hata kidogo katika swala la kuhandle,chezea mwanaume amenunua mjengo for a family bila ubaguzi na kuchukua watoto wa mwanaume mwenzie watatu bora angekua mmoja na
kukaa nao,making them part of the family.nani anaeza hiyo kazi maisha haya ya sasa?kwanza ukisema tu unamtoto mwanaume ajikataa.
we unazani kwanini zari kazaa jmos na jpili?ye so fala.....wema mwnyw anatamani siku zirudi nyuma

mi ni fun no 1 wa kiba lakini ata kwa mamilioni siwezi mdate asee
mwanaume aso shukurani wala kutambua thamani yangu kwakweli simuwezi ata kwa sekunde.pesa ata na mimi natafta
 
Haaaaaa! Kiba kazidiii bwanaaa. Mwanaume mchoyo kama nini.

Hata kumu acknowledge Bae wako tu nayo inakuwa issue. Kupita red carpet na Jojo kwani sh. Ngapi.? Roho mbaya tu. Baraka ana mtreat Najma vizuri sanaaa. Ila Kiba ni jipu
Sawa tatizo na nyie mnakuwa romantic tukiwa wallet imetuna ila tukifirisika mpaka tunapandaa daladala mnatukimbia! Pia hata tukiwahudumia mnasema haturaridhishi mnatafuta hadi ma house boy wetu! Moyo sukuma damu! "Ajaribu kwingine"
 
Back
Top Bottom