Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,431
- 2,627
Mwigizaji na mrembo wa taji la Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu amedai anapokea vitisho vya kupotezwa kama ataendelea na msimamo wake wakuitumukia Chadema
Kwa upande wake Wema amesema hatishwi ana chochote amesha amua na hakuna mtu yeyote atakaebadili mawazo yake kwa kuwa anachohitaji ni amani ya moyo wake na kuwa huru kwani alikokuwa aliona nchi inaenda kubaya
“Ninatishiwa sana na napigiwa simu na kutumiwa ujumbe mfupi kwenye akaunti zangu na kwenye mitandao ya kijamii, mimi siogopi na nimesha amumua na hakuna wakunizuiya kwa hilo, kwani tangu nimeingia katika chama hiki nina amani na moyo na ninahisi nimetua mzigo mzito niliokuwa nimeubeba “ alisema Wema
Wema alifafanua kuwa baadhi ya vitisho anavyokutana navyo ni matusi ya nguoni, amabapo huwa anapigiwa simu na kutukanwa wengine wakimtumia ujumbe mfupi wakidai watampoteza lakini anauhakika anayeweza kupoteza maisha yake ni mungu
Wema aliongeza kuwa “hakuna mtu muhimu kama mzazi wako kama anakupa sapoti ya kutosha basi hakuna mwingine anayeweza kuzuia hilo, nashukuru wamejua nini nakihitaji na ninachotaka kuwaonesha nilichokuwa nacho ambacho nilipokuwa hawakukiona”
kwa sasa Wema yupo katika ziara ya kutambulishwa mikoa yote kwa wanachama na wapenzi wa Chadema. Jana ameanzia Arusha kumtia moyoo Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema anayekabiliwa na kesi ya uchochezi