Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 278,618
- 1,128,562
Mashabiki wa Tanzania wanaongoza kwa kuendeshwa na mihemko na matusi tele bila kutoa sapoti yoyote kwa kununua kazi za msanii wampendae. Wapo tayari kuchangishana pesa ya kigodoro kwenda kumsunta yeyote atakae mkosoa msanii wao ila kununua kazi zake hawawezi.(wapo tayari kujaza post kwenye account zao mitandaoni za kejeli na lugha chafu kwa yule wanayedhani ni adui wa msanii wao ila ni wagumu kutangaza biashara au kazi za msanii wao)
Mashabiki wa majuu(nchi za ulaya) wao wapo bega kwa bega kusapoti(kiuchumi) kila akifanyacho msanii wao ndio maana album zinapata mauzo makubwa na biashara za wasanii hao zinafanikiwa.
Haya ni maoni yangu tu je,ukweli ni huu au kuna kingine?