JB amedai hamfahamu mwanamuziki huyo na wala hasikilizagi bongo fleva, ila kwa kauli yake hiyo amesema anampenda sana japo amemdiss,
Yeye pamoja na kusema hasikilizi Bongo Flevaila hawachukii...
Ni swala ambalo linanitatiza sana,nlichofundishwa shuleni na ninachojua ni kwamba these stars are supposed to be an example to the society..lakini wamekua wakionyesha vitu tofauti sana,wao ndo...
JB afunguka aeleza sababu ya mgomo sio kufungia Movie za nje, bali ni kutaka walipe vibali na kodi kama wao. Akiri kwambamovi za njeni bora kuliko zao. afananisha movie hizo mbili na bia ya safari...
Katika harakati za kurudisha kwa jamii kile anachokipata, mkali wa wimbo ‘Marry You’, Diamond Platnumz, ameweka wazi mpango wake wa kujenga hospitali ya moyo na magonjwa mengine katika mtaa...
Baada ya kuliangalia suala la ndugu zetu wa Bongo Movie kwa undani na hasa kupitia ushirikiano mkubwa wanaopewa na Ndugu Paul Makonda, naomba ushauri huu uzingatiwe ili kuokoa jahazi linalozama...
‘Show Me’ ya Harmonize na Rich Mavoko ni moja kati ya nyimbo ambazo zinafanya vizuri katika sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi, katika kipindi kifupi tangu itoke.
Imedaiwa kuwa, wimbo huo...
If y'all thought Tanzania had it so bad......
(From Complex.com)
Trump, a guy who most certainly doesn't know a goddamn thing about music, changed topics a total of five times during his dual...
Msanii wa bongo movie ameomba watanzania tumuombee, kwani ameanza mwaka vibaya baada ya nyumba zake mbili kuwekwa x na kuwa hatarini kubomolewa.
#Hapa kazi tu
#Hatunywi sumu wala hatunyongi...
Habar wapendwa,
Muda kidogo nimekuwa nafatilia kwa karibu sana kazi za wasanii wetu wa bongo,
Kiukweli zinachosha sana na mnatuchosha sisi watazamaji maan kazi za saiv hazina tofauti sana na za...
Tangu Msanii Harmorapa ameingia kwenye muziki kwa kuanza kujifafanisha na msanii Harmonize, kila wakati rapa huyo amekuwa akiingia kwenye 'headline' mbalimbali na kuzungumziwa na wasanii wengi...
Jamaa yupo serious na kazi,
Yani kazi juu ya kazi ile Nganganga!
Sasa leo asubuhi ameyabariki masikio yetu kwa kuachia dude flani la kubengika, Dah Sijui ndio kipya kinyemi au vipi ila kwa upande...
Sitandika maneno mengi ila kauli yake rado ya kusema "WASOMI INCHI HII HAWANA MCHANGO WOWOTE WASONI NDIO WANATUCHELEWESHA " kiukweli mdogo wangu umechemka na hiyo kauli tu ndio imeonyesha jinsi...
Diamond ni msanii mdogo sana afrika na duniani. Ila ni mkubwa tanzania. Mwaka jana alitudanganya anashow uk na neyo akatupa na ratiba kumbe ilikuwa kiki. Acha kiki hizo
Pia ameleta pafyumu...
Nimepata muda wa kuangalia TVE Kituo cha Television kinachomilikiwa na Majizzo kwa muda sasa lakini hawapigi kabisa video (Nyimbo za WCB) Je kuna nini nyuma ya holidays
Kituo hiki kina top 30 kila...
Kwa nn Steve Nyerere hakwenda kwenye Maandamano ya Wasanii wa Bongo Movie? Kwenye page ya Mange nimemuona Steve mapovu yanamtoka anapinga utaratibu huo uliotumiwa na Makonda na Wasanii wenzake wa...