Darasa adaiwa kuiba beat ya wimbo wake mpya (hasara roho)

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Umbea huo.
Biti sio mali ya msanii, biti ni mali ya prodyuza.
Una lingine?

Alafu wewe sijui ni ke au me
Leo leo umeanzisha uzi kuponda wimbo wa Darasa, sasa hivi umeanzisha uzi kwamba Darasa ameiba biti kwani wewe huna kazi? Au Darasa alichukua dada yako?

Uzi huu hapa umeanzisha wewe juu ya Darasa

Wimbo mpya Wa darasa umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha
 
Huo ndo utetezi wako? Poor you
Acha umbea wewe kwani Darasa kakutendea nini? Uzi kila sehemu unaanzisha wewe kumponda Darasa kwani kakufanyia nini?
Ndio maana umaskini hauishi watu tunajadili wenzetu badala ya kufanya kazi
 
Akaunti yako inaonesha wewe ni mwanaume lakini mbona una mambo ya kike sana? Unawezaje kumuandama mwanaume mwenzako jamiiforums kila uzi unamuongelea yeye tu kwani amekutendea nini?

Nenda kapumuliwe kisogoni kama vipi
 
Jaman msameheni amejifunza
 
Ndio tatizo tunalo wabongo, uchawi sio kwenye muziki tu, unaweza ona watu wanaleta uchawi hadi kwenye siasa, jambo jema likifanywa na serikali kuna wachawi watatokelezea tu.
 
hajanitendea kitu ila kanichukiza kwa kitendo chake cha wizi. wizi katika serikali ya hapa kazi tu hauna nafasi
Wewe unajua biti ni mali ya nani kati ya prodyuza na msaniii?
Alafu nyimbo ngapi biti zinaendana? Diamond platnumz ameimba nyimbo ina vionjo vya Saida Karori kwenye biti mbona hapakua na tatizo sasa kama Darasa katumia biti ina vionjo vinavyofanana na wimbo mwingine tatizo nini?

Yaani kijana unawezaje kumuandama kijana mwenzako mtafutaji kama wewe?
 
ma haters kama nyinyi tuna wahitaji kwa sana ili darassa azidi kuwa famous. maana leo tu ume post thread 3 zikimzungumzia darassa.
 
Wewe unajua biti ni mali ya nani kati ya prodyuza na msaniii?
Alafu nyimbo ngapi biti zinaendana? Diamond platnumz ameimba nyimbo ina vionjo vya Saida Karori kwenye biti mbona hapakua na tatizo sasa kama Darasa katumia biti ina vionjo vinavyofanana na wimbo mwingine tatizo nini?

Yaani kijana unawezaje kumuandama kijana mwenzako mtafutaji kama wewe?

sidhani kama diamond alitumia vionjo hivyo bila makubaliano yoyote, na ndio maana diamond mwenyewe aliwahi kutaja asilimia ya mapato ambayo saida ameyapata
 
sidhani kama diamond alitumia vionjo hivyo bila makubaliano yoyote, na ndio maana diamond mwenyewe aliwahi kutaja asilimia ya mapato ambayo saida ameyapata
Sasa unajuaje kama Darasa hana makubaliano na mtu?

Mkuu pambana na hali yako usihangaike na mambo ya Darasa
 
ndio maana umebaki masikini.. utaendelea kuwa masikini hadi ukiacha roho mbaya na wivu wa kijinga
 
Back
Top Bottom