Hiki ndo kiasi cha pesa anaingiza Hormonize Youtube kwa mwezi

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382
Harmonize amesema watu wanashangaa kuona anatembelea magari ya kifahari ila hawajui tu kuwa muziki unampa Connections nyingi kwani mbali na show pia anaingiza mkwanja mrefu kupitia mtandao wa Youtube ambapo amefunguka kuwa anaingiza kiasi cha Dola za Kimarekani 3,500 kwa mwezi.

“ Namshukuru Mwenyezi Mungu Kupitia muziki umenikutanisha na watu wengi,Umenipa Dili napata riziki kwenye njia tofauti tofauti,sio tu kwenye show,licha ya kufanya show nauza nyimbo zangu kwenye Platform,Mimi akaunti yangu ya Youtube kila mwezi nalipwa Dola 3,500 “Amesema Harmonize kwenye mahojiano yake na kipindi cha leo tena cha Clouds FM.

Harmonize kwa sasa ambae anafanya vizuri na wimbo wake wa ‘Niambie’ anatarajia kuanza Tour yake ya muziki wikiendi hii mkoani Mtwara.

HARMONIZE-KASUKU.jpg
 
$3500..good lakini sidhani Kama zinafika kwa kila mwezi au hiyo ndio maximum aliowahi ingiza /mwezi
 
Hivi u.tube kweli hua wanalipa?? Dunia ina wasanii wangapi wanaolipwa na you tube...

Mfano wiz khalifa sound track ya see u again..ilikuwa na viewers 1.2 billion..je ilimuingizia kipato cha sh ngapi??

Mfano millado Ayo na segment yake ya subscribe..anapata sh ngapi kwa mwezi

Mimi naona kuna uongo mwingi kwenye hii issue ya you tube kulipa watu
 
Harmonize amesema watu wanashangaa kuona anatembelea magari ya kifahari ila hawajui tu kuwa muziki unampa Connections nyingi kwani mbali na show pia anaingiza mkwanja mrefu kupitia mtandao wa Youtube ambapo amefunguka kuwa anaingiza kiasi cha Dola za Kimarekani 3,500 kwa mwezi.

“ Namshukuru Mwenyezi Mungu Kupitia muziki umenikutanisha na watu wengi,Umenipa Dili napata riziki kwenye njia tofauti tofauti,sio tu kwenye show,licha ya kufanya show nauza nyimbo zangu kwenye Platform,Mimi akaunti yangu ya Youtube kila mwezi nalipwa Dola 3,500 “Amesema Harmonize kwenye mahojiano yake na kipindi cha leo tena cha Clouds FM.

Harmonize kwa sasa ambae anafanya vizuri na wimbo wake wa ‘Niambie’ anatarajia kuanza Tour yake ya muziki wikiendi hii mkoani Mtwara.

View attachment 504907
HAWA vijana wetu wa kisasa(bongo fleva) wao kila siku ktk mahojiano yao huwa wanapata pesa tu!!huwa hawakosi pesa ktk mishe zao, YAANI siku akitokea msanii ktk mahojiano akasema yeye hana pesa nitakuwa shabiki wake ,wamebarikiwa sana!!
 
Harmonize amesema watu wanashangaa kuona anatembelea magari ya kifahari ila hawajui tu kuwa muziki unampa Connections nyingi kwani mbali na show pia anaingiza mkwanja mrefu kupitia mtandao wa Youtube ambapo amefunguka kuwa anaingiza kiasi cha Dola za Kimarekani 3,500 kwa mwezi.

“ Namshukuru Mwenyezi Mungu Kupitia muziki umenikutanisha na watu wengi,Umenipa Dili napata riziki kwenye njia tofauti tofauti,sio tu kwenye show,licha ya kufanya show nauza nyimbo zangu kwenye Platform,Mimi akaunti yangu ya Youtube kila mwezi nalipwa Dola 3,500 “Amesema Harmonize kwenye mahojiano yake na kipindi cha leo tena cha Clouds FM.

Harmonize kwa sasa ambae anafanya vizuri na wimbo wake wa ‘Niambie’ anatarajia kuanza Tour yake ya muziki wikiendi hii mkoani Mtwara.

View attachment 504907

Uongo uliotukuka

YouTube hawalipi chochote akawadanganye wanuka papuchi
 
Back
Top Bottom