Huyu demu a lite shirk kishka na Rayvanny kwenye wimbo Wa Zezeta ni mshambamshamba kiasi kwamba ameshindwa kuuvaa uhusika na hivyo kusababisha wimbo mzima kuonekana Wa ovyo kabisa.
Kama kuna...
Jamaa kajichubua siku hizi ,anahojiwa eti anasingizia kwamba siku hizi anaoga vizuri,ana drive ,ana maisha mazuri kwa hiyo weusi umemkimbia.
Hakyamungu,these idiots,type za Kina ray aliyedai...
Nimekuwa nikifuatilia sana uongeaji wa hawa akina Dada wawili mmoja akiwa ni kutoka ' Majuu ' ( Marekani ) nikimaanisha Mwanamuziki Nick Minaj na mwingine akiwa anatoka ' Uswahilini ' ( Tanzania )...
Wakuu
imetangazwa leo msanii mwenye kupenda kiki hapa jijini kuliko kazi ataachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "Nundu" humo amemshirikisha mkongwe aliyepotea kwa muda sasa CPWAA
sina...
Ngoma mpya ya darassa hasara roho ina mstari huo hapo juu,japo hajamtaja lakini nahisi anamdis yule mkali wa zamani wa tongwe ngome kongwe,wewe je unahic Nani ametuectia zaidi ya baba Ivan.
Nimemnasa kwenye radar zangu
Anaitwa Daudi kusekwa
====+++======++++++======+++
Headlines za staa wa muziki wa Injili Tanzania Madam Flora kukaribia kufunga ndoa baada ya kutengana na...
Habarini,
Wakati wa muda wa mchana SAA 6 au SAA 7 kunakuwa na kipindi cha wakati wa maakuli kwenye stesheni ya radio one stereo
Kabla kipindi hakijaanza kunakuwaga na ala flani ya mziki...
Wasalaam wana jf.
Kama mtakuwa na kumbu kumbu E-FM na Man fongo waliingia kwenye mgogoro baada ya Man fongo kukubali kufanya show lakini dakika ya mwisho kabisa hakutokea eneo la tukio na...
Wadau mambo niaje?
Nilikuwa nahitaji kumjua huyu mwanadada Priyanka Chopra maisha yake halisi(The historical background) mpaka kukutana na wasanii wa Tanzania*(@Diamondplatnumz) kwenye kategori moja.
Najuwa wapo watu watakuja kunishambulia lakini Mimi kama nasimama kwenye ukweli huwa siogopi kushambuliwa hata kwa risasi.
Wote tunajuwa matumizi ya perfyumu na sidhani kama huwa kuna perfume...
Darasa ametoa ngoma mpya ambayo kwa kweli imedhihirisha kuwa msanii huyu hana kipaji cha kutunga mashairi mazuri.
Si hivyo tu ngoma hii imetoa picha kuwa msanii huyu siyo mbunifu kwani ngoma hiyo...
Wadau,
Leo nimeona tujikumbushe na suala hili, moja ya kumbukumbu ni kwamba mchora katuni maarufu Masoud Kipanya siku Clouds TV wanafanya sherehe ya kuanza kuonekana DSTV, aliwaponda kupitia...
Swala la mawaziri na wabunge kuwa na vyeti feki ni vipi? Milton Makongoro Mahanga na baadhi ya wabunge wana PhD's na masters feki je ni nini inafnywa kurekebisha tatizo?
Makongoro Mahnga alipta...