Muda mfupi tu uliopita ' Msanii ' wa Bongo Fleva Linex wakati akiwa ' anahojiwa ' katika Simu na Watangazaji wa Kipindi ' maarufu ' cha SHILAWADU juu ya ' deni ' kubwa la Tsh 943,000/ analodaiwa...
WAZEE WA KIMASAI WAMJADILI LOWASSA risasi mchanganyiko
Aidha, wazee hao wapatao 90 wamejadili pia kuhusu mkanganyiko uliopo ambao baadhi ya watu humchukulia waziri mkuu huyo aliyejiuzulu...
kwa aina ya nyimbo anazotoa kWa sasa unatoa picha kuwa kipindi cha nyuma alipokuwa anatoa nyimbo Kali na za kusisimua alikuwa anatungiwa na mtu/ watu.
Tunaomba kwa mtu aliyekuwa akimfanyia kazi...
Alikuwa akihojiwa na kipindi cha shilawadu na kukiri sasa amekuwa teja wa gongo akiwa hapo studio na mama yake
Mama yake amesema anampa tabu kwa kuwa ameshindwa kulea mtoto wake na afya yake...
Tunabishana na mshikaji apa anadai shows za ulaya zinalipa zaidi kuliko show za msanii anazopiga Africa nikimanisha show za ndani (nchini na nchi za kiafrica)
Mm naamini na nitaendelea kuamini...
Aiseeee! Huyu mwanadada alikua amefit sana pale kwenye planet bongo, alikuwa anaipatia vizuri sana akiwa na Dulla lakini nimeshangaa Juzi nasikiliza tena online mara nakutana na jamaa mwingne...
Mwanamuziki Beyonce ambaye pia ni mke wa rapa Jay Z amepost picha ya kwanza akiwa na watoto wake mapacha Sir Carter na Rumi, Beyonce amepost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa...
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Ni dhahiri sasa watu wa mwanza wameamua kaz kuna wasanii ambao kwa sasa ni tishio na wote ni kutoka mwanza mwanza...
Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa
Idris Sultan ameamua kukiri wazi kuwa
kipindi yupo kwenye mahusiano na Miss
Tanzania 2006 Wema Sepetu alikumbwa na
ukata.
Kupitia kipindi cha Clouds e...
STAA wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper, ameibuka na kudai kwamba ufundi cherehani ndiyo unaomlipa zaidi kuliko filamu alizowahi kucheza.
Kutokana na kauli hiyo, mwigizaji huyo ambaye kwa...
Msanii anayeiwakilisha vyema mji kasoro bahari Morogoro Belle9 ameachia ngoma yake mpya inaitwa "Mfalme", kwa upande wangu ni ngoma kali japo ngoma imeachiwa tu mitandaoni hope ikiachiwa redioni...
Jana alipopewa ' Fursa ' ya kuzungumza wakati wa ' Show ' ya Saida Karoli Waziri wa Habari, Michezo, Utamaduni na Sanaa Dkt. Harrison Mwakyembe alisema namnukuu " Nipende tu kutoa shukran kwa...
Huyu Dada ni miongoni mwa watu walioshiriki kuimba nyimbo ambazo zilipelekea wewe kusikika na hatimaye kufika hapa ulipo ( ingawa umeanza kuharibu ) hivyo msaidie usijafanye kama haujamsikia...
BEYONCE: MAVAZI HAYANIPENDEZI KWA SASA
LOS ANGELES, MAREKANI
NYOTA wa muziki nchini Marekani, mke wa rapa Jay Z, Beyonce, amefunguka kwamba ujauzito wake unamfanya asipendeze na mavazi...
Hakuna kusubiri tena! Ay amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake remy aliyeishi nae kwa miaka nane.
Ilikuwa hivi:
Walikuwa wametoka Dinner, walikuwa na washkaji wao wengine mara ghafla mzee wa...
Jina la kitambulisho Ommary Rajabu Saleh Tambwe al maarufu Lilommy jamaa yuko kwenye tasnia kwa muda tangu enzi yuko Voice of Tabora (V.O.T) fm, Kiufupi anakipaji cha kutangaza,production,Graphix...
Kila mtu ana anachokipenda na anachokichukia mm kwa upande wangu mastaa ambao siwakubali ni hawa wafuatao
(i)Harmorapa-hasa misifa yake
(ii) Ney wa mitego- huyu hata haniingii akilini
Wapo kibao...
Kuna habari ina`trend mitandaoni kuwa linex eti alipigiwa simu na Dj Khaleed na sifa kibao,hasa mpya za town inasemekana kuna hotel inaitwa KIBONA HOTEL huko mikocheni,anadaiwa hela mbuzi sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.