Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mr Nice, mbongo flavor wa zamani amebabwa maeneo ya uwanja Fisi Dar, wakinywa pombe na mwanamke Fulani hivi. Wakihojiwa na shilawadu ya Sudi Brown wa clouds FM hivi punde mashuhuda...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Bado sijajua kipi hasa kimewakumba wasanii wetu, kiukweli wasanii wanaofanya kazi serious ni wachache sana watu wamebaki kusifia video tu! Nikisikiliza na kuangalia hizo top 10/20 zao huwa huwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
So Diamond Platnumz jana alikuwa miongoni mwa wageni waalikwa waliohudhuria harusi ya kimila ya Peter Okoye wa kundi la P-Square na mchumba wake, Lola Omotayo iliyofanyika jijini Lagos...
3 Reactions
74 Replies
23K Views
Chester Bennington *1976 - 2017 †
1 Reactions
11 Replies
3K Views
30/03/2016 ndio siku uliyofanya semina elekezi pale Turiani sekondari kwa wanafunzi wa shule mbalimbali za Sekondari, juu ya ugonjwa wa Endometriosis ambao umekutesa kwa muda mrefu sana . .Kikubwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Kupitia akaunti yake ya instagram, Mama mzazi wa Diamond Platinumz ameendika maneno machache lakini yenye ujumbe mzito kwa mama wa wajukuu zake, Zarina Hassan aka Zari the Boss lady. Ni maneno...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Wakuu, Nilikua na adabu mjini nikiwa maeneo yangu nikijua kwamba labda nitadakwa na kamera za Shilawadu lakini kumbe "hakuna shilawadu wanaofumania" Ukiangalia jinsi wanavofanya vipundi vyao...
6 Reactions
25 Replies
5K Views
Akihojiwa na Sudi Brown wa You Heard ya Clouds FM, Amber kadai kaamua kuifuta tatuu ya Young Dee kwa sababu hakuna chochote kati yao ila ni urafiki tuu. Young Dee kwa upande wake naye kadai...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Siku chache baada ya kubainika kuwa, Miss Tanzania 2006-07 ambaye pia anatisha katika tasnia ya filamu nchini, Wema Isaak Sepetu ni mtumiaji mzuri wa nyama ya Nguruwe ‘Kitimoto’, imeonekana...
0 Reactions
28 Replies
11K Views
Baada ya beef na mvutano wa muda mrefu baina ya Ruge (clouds media) na msanii Rama dee sasa wameamua kuzika tofauti zao Itakumbukwa Rama dee ni miomgoni mwa wasanii waliokuwa wanaendesha kampeni...
6 Reactions
64 Replies
10K Views
Majina ya wasanii wanaowania tuzo za mwaka huu za AFRIMMA-2017 yametajwa. Diamond Platnumz ameongoza kwenye tuzo orodha hiyo kwa kutajwa kwenye vipengere vingi(ambavyo ni vitano). 1.Best Male East...
1 Reactions
32 Replies
7K Views
Hellow wakuu Kichwa cha habari chajieleza, 1.kuna nyimbo ya justin timberland ameimba beat ni la kihindi , wimbo unaanza mdada wa kihindi akitokea kwenye kikapu (tenga) mwishoni alirudi kwenye...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
“Nimeondoka Rockstar sio sababu Alikiba ni Boss” – Baraka the Prince Kama utakumbuka mwaka 2016 mwimbaji Baraka Da Prince alisaini mkataba wa kufanya kazi na label ya Rockstar 4000 lakini baadae...
1 Reactions
52 Replies
10K Views
Msanii namba moja Tanzania na Afrika Mashariki,Diamond Platnumz amechaguliwa kuwania categories TANO kwenye mashindano ya muziki ya Afrika yanayoandaliwa nchini Marekani. Muhenga yeye...
3 Reactions
29 Replies
6K Views
Wakihojiwa hivi punde na Soud Brown wa YOU HEARD ya Clouds FM, Flora amesema kamwachia Mbasha kila kitu kuanzia nyumba, magari na pesa benki ktk akaunti zote. Kibaya anadai jamaa hamkumbuki...
3 Reactions
55 Replies
11K Views
Sote tunafahamu Hollywood wanamji wao ambao wanakaa mastaa movies, music nk mitaa ya Beveryhill huko nk. Kuna kipindi mastaa wabongo pia waliwahi pewa eneo wajenge. Iliishia wapi hiyo mana...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…