Mr Nice akamatwa na polisi kisa kunywa pombe muda wa kazi

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,262
6,514
Mr Nice, mbongo flavor wa zamani amebabwa maeneo ya uwanja Fisi Dar, wakinywa pombe na mwanamke Fulani hivi.

Wakihojiwa na shilawadu ya Sudi Brown wa clouds FM hivi punde mashuhuda wamedhibitisha. Pia inadaiwa walikutwa wakipigana na mwanamke huyo aliyekuja naye.

Mr Nice anamtuhumu binti kuwa kamwibia simu yake, nadhani baada ya pombe kukolea. Inadaiwa hadi muda huu bado wote wawili wanashikiliwa polisi.
 
hivi kunywa pombe ni uvunjaji wa sheria?nilitegemea jeshi langu la polisi lijikite zaidi katika kutokomeza ujangili unaoharibu urithi wa our next generations,all under world wanaojihusisha na drugs,utakajishaji wa fedha,wizi wa kutumia silaha,na mbaya zaidi hasa kwa sasa human trafficking hii biashara imekuwa kubwa mno na my Tanzania inaathirika mno,watanzania wengi wanaishia kwenye madanguro humu humu ndani ya SADC,nchi yangu imekuwa ni transit point ya biashara hii haramu,lakini hakuna linalofanyika may be hakuna mtoto wa kigogo aliyeathirika na biashara hii,hii ya polisi wangu kukimbizana na walevi wawaachie mgambo wa serikali za mitaa.
 
Kilichopelekea kukamatwa ni ugomvi,
Mbona pombe watu wanakunywa muda wowote we hela yako tu bar wanakuuzia kama kawaida!
 
Issue sio pombe wala ugomvi, maneno yaliyobeba habari hapo ni Mr. Nice kukutwa Uwanja wa Fisi
 
Back
Top Bottom