Msibani kwa mama Zari Uganda

Maskini, this is sad! May she RIP na Mungu awasaidie wafiwa
 
Mfiwa alipokuwa akijisikia kulia alikuwa anakimbilia chumbani,ili asipingwe picha.
Anaogopa make up itatoka tuone uumbaji wa Mwenyezi Mungu na si uumbaji wa make up! Zari ni mwanamke wa ajabu Hii dunia ina mambo banduguuuuuu khaaaa uso uwe na haya kidogo chaaaa! RIP bibi Tifa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom