Wanaigeria wamweka kiti moto diamond kwa kuvaa vibaya kwenye arusi ya peter wa p-square

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
So Diamond Platnumz jana alikuwa miongoni mwa wageni waalikwa waliohudhuria harusi ya kimila ya Peter Okoye wa kundi la P-Square na mchumba wake, Lola Omotayo iliyofanyika jijini Lagos, Nigeria.

Kwenye harusi hiyo, Diamond alipata nafasi ya si tu kushuhudia Peter na Lola wakisema ‘Yes I do’ bali pia aliweza kuchill na cream ya mastaa wa Afrika wakiwemo Iyanya na mchezaji wa timu ya Tottenham Hotspur na timu ya taifa ya Togo, Emmanuel Adebayor.

Alipata pia fursa ya kuwaonesha Adebayor na Iyanya style yake ya kucheza ya Ngololo

Hata hivyo, kitu kimoja hakikwenda sawa. Ni nguo aliyokuwa ameivaa, ambayo iligeuka gumzo kwa mashabiki wengi wa muziki nchini Nigeria waliosema kachemka.

Issue ilikuwa hivi, Iyanya alipost picha akiwa na Diamond pamoja na jamaa mwingine na kuandika: With Ubifranklintriplemg diamondplatnumz after peterpsquare trad.”

Polisi jamii wa masuala ya mitindo, wakamweka kitimoto:

[ @ ] chickchuky d dude in d middle…wat d hell,,,see men standing beside u…abeg shuuuuuuuuuu I love iyanya

[ @ ] oakis2000 Whats with the micheal jackson style pant in the middle lol 13h
[ @ ] iamzarajays The object in the middle though…. Dear father forgive me for I have sinned.. Sighs

[ @ ] iheart_swk Sorry no hating but it doesnt suites ur muscular bodi well well darling
[ @ ] genovan dimondplatinumz u shud get personal designer…..that outfit…i kno u copy t 4m ur role model…..she was looking gud tho in those pictures she took when she landed 4m China..unlike u…….u absolutely looks like joker.

[ @ ] agathonyjohn He is east africa michael jackson Chickchuky ..from Tanzania ain’t he dope?
[ @ ] zinwaogb Wow he can sing, just watched his number one video on YouTube, I can’t hate on talent nice one diamond
[ @ ] nikkipollo139 Iyanya u look gorgeous n ubifranklintriplemg but diamond please go change ur cloths for pits sake
[ @ ] kagebby Daimond ulivyovaaaa utafikiria clown……Sasa daimond unatuangusha ndungu….Iyany……sio mbaya ila Daimond anakuj kukufunikaaaaa balassaaa 7h

[ @ ] clarahcut3 Dhahabu87 please stop defending whats not right, the clothes are nice but not good for him, so he should know that not every good cloth will look good with him, and those are among the clothes that dont look good on him, even if he is my fellow Tanzanian but he dont look good and he bored me for real he could atleast ask before getting out Genovan mwatumu37 looking great brother iyanya

[ @ ] ngozi80 4 God sake they should have a fashion adviser someone who can give them sone fashion skills b4 going out or 4 red carpet 2
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaa nimecheka sana yale yale tulokuwa tunasema na snowhite

Fashion is not WHAT you wear HOW you wear........unaweza kununua nguo

kwa pesa nying but still usipendeze...ye ni mkali wa kuimba ila hako ka suruali hapana
 
nilisoma mlivyokuwa mnasema na snowhite nikaona ili watu wasione mna majungu ngoja niweke wanigeria wenyewe walivyosema
 
hahahahaaa nimecheka sana yale yale tulokuwa tunasema na snowhite

Fashion is not WHAT you wear HOW you wear........unaweza kununua nguo

kwa pesa nying but still usipendeze...ye ni mkali wa kuimba ila hako ka suruali hapana
kwa tanzania usanii ni pamoja na kuvaa hovyohovyo, kunyoa hovyohovyo , kuishi hovyohovyo, kuzaa hovyohovyo. yaani kila kitu ni hovyohovyo. uwiii mtoto wangu sijui itanishawishi vipi ili ashiriki katika haya mambo ya hovohovyo
 
Hapo ndio usanii wa tz unaboa,lazima uwe hovyo,uwe mlevi,uwe teja,uwe mzinzi,usuke nywele hata kama mwanaume,uvae mihereni,yaani full hovyo,nachukia sana na media za kibongo zinavyowapa promo,msanii akikaa kwenye interview lugha anayotumia hovyo,sijui watoto wetu kama watapona katika haya,usanii wa bongo ni janga la taifa
 
yaani muone kichwani....madoido mengi yakizidi ni shida

wenzako wako very simple na bado wanaonekana wako poa
 
Hapo ndio usanii wa tz unaboa,lazima uwe hovyo,uwe mlevi,uwe teja,uwe mzinzi,usuke nywele hata kama mwanaume,uvae mihereni,yaani full hovyo,nachukia sana na media za kibongo zinavyowapa promo,msanii akikaa kwenye interview lugha anayotumia hovyo,sijui watoto wetu kama watapona katika haya,usanii wa bongo ni janga la taifa

yaani majanga kwa kweli hata wazazi wakikataa watoto wao kuwa wasnii hawakosei
 
hahahahaaa nimecheka sana yale yale tulokuwa tunasema na snowhite

Fashion is not WHAT you wear HOW you wear........unaweza kununua nguo

kwa pesa nying but still usipendeze...ye ni mkali wa kuimba ila hako ka suruali hapana
Ha ha ha nimecheka bina khaaa..... hv hcho ki suruali ndo shilingi ngapi???.....mhh kijitu kimekomaaa na kimekaukaaa kinakazania nguo za kumchonga...ptuuu kachukiza walai
 
Hapo ndio usanii wa tz unaboa,lazima uwe hovyo,uwe mlevi,uwe teja,uwe mzinzi,usuke nywele hata kama mwanaume,uvae mihereni,yaani full hovyo,nachukia sana na media za kibongo zinavyowapa promo,msanii akikaa kwenye interview lugha anayotumia hovyo,sijui watoto wetu kama watapona katika haya,usanii wa bongo ni janga la taifa
yaani nauchukia usanii hadi naumwa....mwanangu akiwa msanii namnyonga walai
 
Hapo ndio usanii wa tz unaboa,lazima uwe hovyo,uwe mlevi,uwe teja,uwe mzinzi,usuke nywele hata kama mwanaume,uvae mihereni,yaani full hovyo,nachukia sana na media za kibongo zinavyowapa promo,msanii akikaa kwenye interview lugha anayotumia hovyo,sijui watoto wetu kama watapona katika haya,usanii wa bongo ni janga la taifa

Walimu wao majaji wa bss ndo wanapenda u crazzy kama huo!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom