Tuzo za AFRIMMA: Diamond Platnumz amgalagaza chini mhenga aliyesema 'Kitanda hakizai haramu'

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,076
4,113
Msanii namba moja Tanzania na Afrika Mashariki,Diamond Platnumz amechaguliwa kuwania categories TANO kwenye mashindano ya muziki ya Afrika yanayoandaliwa nchini Marekani.

Muhenga yeye amechaguliwa kwenye category moja. Hili ni pigo sana kwake na ushindi mkubwa sana kwa Simba.

Pia wapo wasanii wengine kutoka Tanzania. Pia yupo mtayarishaji wa muziki Tudd Thomas na mkata viuno wa Diamond, Mose Iyobo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo huyo mhenga anajiona bora wakati kimataifa ubora wake hauonekani.....hata hiyo moja nahisi wamempendelea.
 
Sasa mtu anaachia nyimbo tatu wiki moja unataka kumfananisha na wachimba chumvi wengine?

Sent from my Blackberry DTEK70 using JamiiForums mobile app
 
Msanii namba moja Tanzania na Afrika Mashariki,Diamond Platnumz amechaguliwa kuwania categories TANO kwenye mashindano ya muziki ya Afrika yanayoandaliwa nchini Marekani.

Muhenga yeye amechaguliwa kwenye category moja. Hili ni pigo sana kwake na ushindi mkubwa sana kwa Simba.

Pia wapo wasanii wengine kutoka Tanzania. Pia yupo mtayarishaji wa muziki Tudd Thomas na mkata viuno wa Diamond, Mose Iyobo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili fupi sana,wenzio wanaungana kuiwakilisha Tanzania nje ya nchi,wewe unashabikia utengano,stupid guy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msanii namba moja Tanzania na Afrika Mashariki,Diamond Platnumz amechaguliwa kuwania categories TANO kwenye mashindano ya muziki ya Afrika yanayoandaliwa nchini Marekani.

Muhenga yeye amechaguliwa kwenye category moja. Hili ni pigo sana kwake na ushindi mkubwa sana kwa Simba.

Pia wapo wasanii wengine kutoka Tanzania. Pia yupo mtayarishaji wa muziki Tudd Thomas na mkata viuno wa Diamond, Mose Iyobo.

Sent using Jamii Forums mobile app
we unawania tuzo gan mzee baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi mfananisha jay dee na nao wasanii uchwara
Inshu sio kuwa kwenye game, Bali kudumu kwenye game

spend less, save more
Wewe Dada wa wapi .......Inshu kutengeneza mpunga mwingi kuzidi wengine,sio kuwepo muda mrefu,maana muda waliopo hao WAHENGA na muda alionao DIAMOND keshawaacha kwa mbali sana tena sana si kimuziki wala si kwa kipato.
 
Tatizo huyo mhenga anajiona bora wakati kimataifa ubora wake hauonekani.....hata hiyo moja nahisi wamempendelea.
Hahahaha! Tatizo muhenga anajiona bora kuliko wengine,kwa Tanzania anaweza kuwa sahihi kwa anachoamini,lkn sio nje ya tanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom