Wasanii,Diamond Platnumz,Rayvanny, Tudy Thomas na Darasa waongozwa kutajwa tuzo za AFRIMMA-2017

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
825
6ddb4788a221e56b5cd46752f2dd9729.jpg

Majina ya wasanii wanaowania tuzo za mwaka huu za AFRIMMA-2017 yametajwa.
Diamond Platnumz ameongoza kwenye tuzo orodha hiyo kwa kutajwa kwenye vipengere vingi(ambavyo ni vitano).
1.Best Male East Africa
2.Artist of the year
3.Video of the year-salome ft Rayvanny
4.Best collaboration-marry you ft Neyo
5.Song of the year-salome ft Rayvanny.
Huku Rayvanny akiwania nominated as Best newcomer pia Mosey Iyobo kama African Dancer of the year huku Tuddy Thomas kama Sound Engineering of the year.
d30a548fa85cb1d823a1c59b811df35f.jpg

Link nimeshindwa kuweka na upigaji kura uko open.
Karibu tuijenge Tanzania ya music in the world.
 
Lady Jaydee kufanya nini remarkable 2016/2017 mpaka awe nominated? Damn....
 
Naomba link nimpigie kura fundi Simbaaaaaaaa! Plz

Hate me at your own risk
 
Back
Top Bottom