Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mmh!! Mpaka sasa hivi Majizzo bado hajatoa birthday wishes kwa aliyekuwa my love wake, Lulu Michael. Sio kawaida aiseh, leo tungeona mbwembwe za kila aina, ila nimepitia kwenye page ya Majizzo...
2 Reactions
25 Replies
9K Views
  • Redirect
Mi ndo mchekeshaji na muigizaji pekee ninaye mkubali sana hapa bongo ,nikitaka kucheka sana naangaliaga chuchill show (RIP ayeya poa poa), akina JB waendelee tu kufuga matumbo na kumsupport mr F F...
2 Reactions
Replies
Views
Habar wapendwa, Muda kidogo nimekuwa nafatilia kwa karibu sana kazi za wasanii wetu wa bongo, Kiukweli zinachosha sana na mnatuchosha sisi watazamaji maan kazi za saiv hazina tofauti sana na za...
9 Reactions
117 Replies
12K Views
  • Redirect
Japo wawili hao wanatokea upande wa Kusini mwa Tanzania, lakini wameonekana kutopikika katika chungu kimoja. Akiongea katika kipindi cha Joto La Asubuhi leo, Harmorapa ambaye ni hitmaker wa ngoma...
0 Reactions
Replies
Views
Tangu Msanii Harmorapa ameingia kwenye muziki kwa kuanza kujifafanisha na msanii Harmonize, kila wakati rapa huyo amekuwa akiingia kwenye 'headline' mbalimbali na kuzungumziwa na wasanii wengi...
15 Reactions
952 Replies
116K Views
Jamaa yupo serious na kazi, Yani kazi juu ya kazi ile Nganganga! Sasa leo asubuhi ameyabariki masikio yetu kwa kuachia dude flani la kubengika, Dah Sijui ndio kipya kinyemi au vipi ila kwa upande...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
  • Redirect
Hayo ameyaongea katika kipindi cha KIKAANGONI cha EATV
0 Reactions
Replies
Views
Sitandika maneno mengi ila kauli yake rado ya kusema "WASOMI INCHI HII HAWANA MCHANGO WOWOTE WASONI NDIO WANATUCHELEWESHA " kiukweli mdogo wangu umechemka na hiyo kauli tu ndio imeonyesha jinsi...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Diamond ni msanii mdogo sana afrika na duniani. Ila ni mkubwa tanzania. Mwaka jana alitudanganya anashow uk na neyo akatupa na ratiba kumbe ilikuwa kiki. Acha kiki hizo Pia ameleta pafyumu...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimepata muda wa kuangalia TVE Kituo cha Television kinachomilikiwa na Majizzo kwa muda sasa lakini hawapigi kabisa video (Nyimbo za WCB) Je kuna nini nyuma ya holidays Kituo hiki kina top 30 kila...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
  • Redirect
Nilikuwa napata elimu kidogo ya kibiashara sehemu, na jambo kubwa lilikuwa namna ambayo Diamond kaja nayo juu ya Perfume yake, nimemfikiria Diamond kwa sababu ni staa kama wanavyoweza kuwa mastaa...
0 Reactions
Replies
Views
Kwa nn Steve Nyerere hakwenda kwenye Maandamano ya Wasanii wa Bongo Movie? Kwenye page ya Mange nimemuona Steve mapovu yanamtoka anapinga utaratibu huo uliotumiwa na Makonda na Wasanii wenzake wa...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
  • Redirect
Ni kutoka kwa Shilawadu.. wawili hawa wanadaiwa kuachana, sijui inatokana na bidada huyu kuchafuliwa na hyule mwingine anayeishi mamtoni ama vipi, maana amekuwa akipost mambo ya kumdhalilisha...
1 Reactions
Replies
Views
Huyu dada yuko vizur ni bonge la kamanda anafanya kampeni ki stadi sana mbunifu, ana msimamo dah nimemkubali...sio lazima na ww umkubal ila mm nimemuelewan..big up sana Jackline!
5 Reactions
30 Replies
8K Views
Pesaa kitu kibaya sanaaa na kabla ya kufanya uwamuzi wa kwenda WCB ulifanya vizuri sanaa ukiwa mwenyewe nyimbo nyingi sanaaa ulikuwa unafanya mwenyewe na kuziachia ila sasa hivi toka uingia WCB...
18 Reactions
106 Replies
23K Views
Vanessa mdee kila siku anakuja na style mpya ya mavazi ya stegini Akiwa uko nigeria alitupia kivazi kama cha beyonce akisubiri kupanda stegini Ila mshabiki hawapitwi na kitu wengi wakimshambulia...
13 Reactions
191 Replies
46K Views
Mwenye macho haambiwi tazama, kwakweli mmewazingua sana mafans wenu waaminifu. Kuanzia video Ya MUGACHERERE, KIJUSO, SHOW ME, mpaka video ya KARORERO. Hizo video hata ambaye hana utaalamu wa...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Bongo movie nadhani mnajifanya hamjui mchawi wenu ni nyinyi wenyewe na hamjiulizi kwanini siku hizi bongo fleva inafunika nyimbo za magharibi maeneo ya starehe na kitaa kijumla. Mbali na hayo...
3 Reactions
4 Replies
998 Views
Back
Top Bottom