Happy Birthday Elizabeth Michael 'Lulu'

galton

Member
Apr 8, 2017
80
126
Mmh!! Mpaka sasa hivi Majizzo bado hajatoa birthday wishes kwa aliyekuwa my love wake, Lulu Michael. Sio kawaida aiseh, leo tungeona mbwembwe za kila aina, ila nimepitia kwenye page ya Majizzo nimeona kimyaa, anaishia tu ku likes picha za lulu kwa watu, ila yéyé naona kamfungia kufuli.

Pole Lulu, Bwana Yesu alikufa kwa ajili yetu, kwani kupata danga sh ngapi? Halafu leo pia aliyekua bilionea wa Arusha, Marehemu Seky ambaye pia alikua mpenzi wa Lulu nae anatimiza mwaka mmoja toka afariki dunia kwenye mazingira ya kutatanisha.

Pole sana na matatizo mama shikana, HAPPY BIRTHDAY.
cf249d9a1813ba9002cf99cde6b9868b.jpg
 
Haya shilawadu wetu "majizo hajamuwish"
Jitahidi kumjua shemela mpya.
Utuletee japo na kaushahidi

Happy birthday lulu Michael
 
Mmh!! Mpaka sasa hivi Majizzo bado hajatoa birthday wishes kwa aliyekuwa my love wake, Lulu Michael. Sio kawaida aiseh, leo tungeona mbwembwe za kila aina, ila nimepitia kwenye page ya Majizzo nimeona kimyaa, anaishia tu ku likes picha za lulu kwa watu, ila yéyé naona kamfungia kufuli.

Pole Lulu, Bwana Yesu alikufa kwa ajili yetu, kwani kupata danga sh ngapi? Halafu leo pia aliyekua bilionea wa Arusha, Marehemu Seky ambaye pia alikua mpenzi wa Lulu nae anatimiza mwaka mmoja toka afariki dunia kwenye mazingira ya kutatanisha.

Pole sana na matatizo mama shikana, HAPPY BIRTHDAY.
cf249d9a1813ba9002cf99cde6b9868b.jpg

Hivi ni kweli huyu demu ana pepo la kulostisha/kuua wanaume? Tafadhali naomba ushauri wenu maana kuna jamaa ana pesa ananisumbua sana na nimemchoka nataka nimsakizie kwa huyu mtoto.
 
Mwezi wa birthday ndo mwezi wa kumbukumbu za marehemu wapenzi wake....majizzo mjanja kaiwahi April katoka nduki
R.i.p kanumba na seki
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom