Irene Uwoya afunguka kutoka na Diamond, Harmo Rapa na Dogo janja

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Uwoya amedai hajawahikuachana na mumewe Ndikumana ila hawapo pamoja kwa sababu ya mwanaume huyo yupo busy na kazi
Pia amesema hamjui Harmo rapa zaidi ya kumsikia mitandaoni na watu wamekuwa wakimuuhusisha nae baada ya kusema anapenda wanaume wenye sura mbaya
Amesema pia hatoki na dogo janja kama anavyodaiwa na anamuona kama mwanae wa kumzaa sababu ni mdogo sana
Hajawahi kutoka kabisa na Diamond
 
Ally Hapi anahangaika na Corner bar amawaacha hawa sijui bongo movie na baadhi ya wasanii wa bongofleva ambao hawajulikani nani anawaweka mjini nakupangishiwa majumba huku kipato chao kinahisiwa kutokana na umal@y
 
Wasanii wa kike Bongo wanapenda kujidhalilisha sana, asilimia 95 ya maswali wanayoulizwa huwa ni ya kugegedwa tu na wao waenjooooi kuyajibu.
 
Wasanii wa kike Bongo wanapenda kujidhalilisha sana, asilimia 95 ya maswali wanayoulizwa huwa ni ya kugegedwa tu na wao waenjooooi kuyajibu.
Tena wanafurahi kweli kweli hao,mara ya kwanza utaskia,staki kuongelea hayo mambo,afu baadae wanapanic na kuanza kutuelezea historia zao za mapenzi!nafurahigi sana kuangalia interview za wasanii wa kibongo kwakweli
 
Back
Top Bottom