Nikivaa nguo ndefu nawashwa mapaja-msanii lulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikivaa nguo ndefu nawashwa mapaja-msanii lulu

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Pdidy, Feb 15, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  GAZETI LA GLOBAL PUBLISHER HIVI KARIBUNI LIMEJULISHWA NA MSANII LULU AKA MAMA MAUCHI KWAMBA SI YEYE BALI AKIVAA NGUO NDEFU MAPAJANA MAKALIO YANAWASHWA..KAZI KWAKO WEWE UNAWASHWA NINI UNAENGANGANA NA VAZI REFU??
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Mwenzanu nikivaa nguo ndefu nawashwa sijui wenzangu amuwahshwi??hii n kauli ya msanii lulu akiuliza watu wanaovaa nguo ndef wana nini yeye anawashwa mapaja na makalio akiwa na vazi hilo la kiheshima
  kwenu wana jamiiiio
   

  Attached Files:

 3. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  utoto unampeleka vibaya
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  duh! @ mama mauchi
   
 5. T

  Truly JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hana ishu huyo ni kumpotezea maana anaona sifa na viguo vyake kumbe anajidhalilisha tu.
   
 6. Barbie Maliposa

  Barbie Maliposa Senior Member

  #6
  Feb 15, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ungekuwa na maukurutu cdhani kama ungetembea uchi japokuwa yanawasha.
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  biashara hiyooooo
   
 8. s

  shosti JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mtoto msuri kwisa haribika,wallah mabata usungu:sick:
   
 9. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  akamuulize kanumba !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 10. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  hv huyu dogo anasoma? kama anasoma yupo level gani maana naona anauza uso tu na anaelekea kuzeeka....
   
 11. F

  Fahari omarsaid Member

  #11
  Feb 15, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dogo hasomi hukuckia interview alofanyiwa teacher wake na clouds bt my advise kwake amkumbuke mwenziwe MAINDA alobadili dini kisa dini inamwambia avae nguo zenye kuficha maumbile yake na ss amepotea kwenye sanaa na asisahau kuwa cc wa AFRIKA na hizo co tamaduni zetu au wana JF haka katoto hakina wazazi{yatima}me nikifundishe
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Feb 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hivi hakana wazazi haka katoto!
   
 13. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #13
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,503
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 180
  atuondolee upupu wake :majani7:
   
 14. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Ujana maji ya moto
   
 15. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  nahisi biashara matangazo
   
 16. F

  Fahari omarsaid Member

  #16
  Feb 16, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Au kamesahau kuwa sanaa ya bongo ya mcmu
   
 17. Katibukata

  Katibukata Senior Member

  #17
  Feb 16, 2011
  Joined: Dec 27, 2007
  Messages: 183
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Lulu, jickie huru! Feel free! Kama ni tabia yako ya kugawa utagawa tu hata kama ukivaa nguo ndefu.
  By the way, mie naona unapendeza. Sioni ajabu, basi tu tamaa za watu. Hakuna cha biashara matangazo wala nini! Vaa vazi ambalo utajickia comfortable dada.
   
 18. g

  geophysics JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Vaa tu nguo fupi usiwashwe mdogo wangu...

   
 19. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #19
  Feb 16, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Ni wakati wake jamani, akikua ataacha. mwoneni alivyopendeza, LOL.
   
 20. m

  maggy mushy Member

  #20
  Feb 16, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakushauri lulu uwaone madaktari wa ngozi ukitibiwa utapona tu usipuuzie huo ni ugonjwa
   
Loading...