Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Tanzanian singer apologises for Kenyatta prayer Prominent Tanzanian gospel artist Christina Shusho has apologised for a Facebook post that upset opponents of Kenya's President Uhuru Kenyatta...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Kama ilivyo kwa baadhi ya wanamuziki ambao wanaweza kutoa wimbo na baadae kukaa mwaka mzima bila kutoa nyimbo zingine na bado hizo walizotoa zikaendelea kuwaweka kwenye ulimwengu Wa muziki...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa anaweza kufanya aina za muziki ila taarab ipo katika nafasi nzuri kwake kutokana yeye ni muimbaji pia. “Off course I can sing taarab, hip hop pia naweza...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
STAR wa marekani Vera Vendetta atema cheche ‘nimekuchagua wewe Diamond my love’ arusha kijembe kwa Zari The Bosslady, boda aendelea kuonesha hisia zake mitandano ikiwemo instagram na snapchat...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
rayctanzania: Jamaani hii tabia sio nzuri kabisa!!! Sijafa bado! Kama mnaona umuhimu wa sauti yangu kwenye show zenu muwe mnaniitaga basi!sina cancer ya koo ya Kushindwa kuziimba hizo nyimbo!Nandy...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mahakama Kuu Dar leo imemkuta msanii wa filamu, Elizabeth Michael 'Lulu' na kesi ya kujibu baada ya mashahidi 4 wa Jamhuri kutoa ushahidi. mwananchi ==========================================...
2 Reactions
159 Replies
37K Views
MKONGWE kutoka kiwanda cha sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amesema kuwa, hapa duniani hakuna ambaye anaweza kuyatabiri maisha yake yajayo isipokuwa Mungu pekee. Mainda alisema , kumekuwa na...
6 Reactions
46 Replies
14K Views
Miezi kadhaa Baada ya mashambulio makali kwa mzazi mwenzake juu ya malezi ya mtoto,mrembo asiekwisha matukio Bongo Faizza Ally, amemshambulia vikali mtandaoni Mke wa mbunge sugu(happiness msonga)...
0 Reactions
31 Replies
12K Views
Mtangazaji mahiri Maimartha ameamua kuweka majibu yake ya kipimo cha Ukimwi hadharani kutokana na watu kumsema Sana yeye ni muathirika Baada ya kuweka majibu hadharan ndipo watu walipobaini...
4 Reactions
173 Replies
32K Views
Amesema kwamba kuanzia leo hadi kufa Kwake atakuwa anaitwa au atakuwa anajulikana hasa kwa majina haya mapya ya Hassan Ngoma Mange Kimambi Dotto Bahemu. Nadhani hili ni ' Jiwe ' kubwa alilolirusha...
8 Reactions
26 Replies
7K Views
Kuna kipindi hapo nyuma alikiba ali potea kabisa, Hakuwa tena yule tuliyemzoea akitoa kazi zake bampa to bampa, Nakumbuka alitoaga ngoma ya dushelele ndo ukawa mwanzo wa ukimya uliostua wengi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa mjibu wa taarifa ya papo kwa papo(Breaking news) kutoka kwa Mange Kimambi mtangazaji huyo ni Hassan Ngoma.. "Ruge Mutahaba amsimamisha kazi Hassan Ngoma siku ya juzi October 19 2017 kwa...
2 Reactions
164 Replies
33K Views
Muigizaji Lulu, mama yake, na mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba walikua miongoni mwa watu walioshiriki katika misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu marehemu Kanumba afariki dunia, na...
2 Reactions
34 Replies
41K Views
Mwigizaji Elizabeth Michael "Lulu" akijiandaa kuanza kujibu mashtaka katika kesi ya kudaiwa kumuua bila kukusudia mwigizaji Steven Kanumba. Msanii Lulu Asema Kanumba Akiwa kalewa anampiga Sana.
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Elizabeth Michael Kimemeta Mkakati wa Lulu kujitoa kenye makucha ya hii dola kandamizi sasa umeanza kuchipuka pale ambapo mshitakiwa wa hii kesi ya mauaji alipokerwa pale mahakamani alipokuwa...
9 Reactions
515 Replies
69K Views
Huyo kijana anajitahidi sana kuanzia ile nyimbo ya bongo bahati mbaya,,sasa hiv naona kaja kiutani utani. ,,video zake si haba najua kucheza na camera halaf ile cheza yake huku akirap duu so...
10 Reactions
33 Replies
5K Views
Malkia wa bongo movie Elizabeth Lulu Michael atatakiwa kupanda mahakamani tena Oktoba 19 mwaka huu kwa ajili ya kusikiliza tena kesi ya mauaji inayomkabili. Lulu ambae anakabiliwa na kesi ya...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Model ambaye mara nyingi anapenda kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa anajutia akifikisha umri wa miaka 50 hajui maisha yake yatakuwaje. Sanchi aliiambia Star...
0 Reactions
39 Replies
9K Views
Wale wambea wenzangu team zarimond,sijui watahamia wapi maana story za chini kwa chini mahaba yamerudi na yule wa south kapumzishwa Yasemekana mpira umerudi kwa kipa(wema)ila kwa sharti la...
2 Reactions
69 Replies
10K Views
Back
Top Bottom