Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

BONGO LEGENDARY MUSIC FESTIVAL YA 2022 : UKURASA UNAOSAHAULIWA KATIKA MJADALA WA BONGO FLEVA HONOURS NA MIAKA 30 YA BONGO FLAVA Kadiri mijadala kuhusu Bongo Fleva Honours na maadhimisho ya Miaka...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Nimeona mwanaharakati Cherry Hollister amechapisha ujumbe mzito unaomlenga Dotto Magari, ambapo ametoa madai mbalimbali dhidi yake. Miongoni mwa madai hayo, ni kuwa Dotto anaishi na virusi vya...
21 Reactions
326 Replies
9K Views
Usiku wa kuamkia leo mwanamzuziki Jux pamoja na mkewake Priscilla walihudhuria harusi ya streamer mkubwa kutoka Nigeria anaeitwa Peller akifunga ndoa na mkewake Jarvis. Soma zaidi:tofauti kati ya...
0 Reactions
1 Replies
211 Views
Msanii wa Tanzania, Diamond Platnumz na Mkewe Zuchu wamethibitisha ujio wa Mtoto wao baada ya Diamond kuchapisha picha ya kuwa Zuchu amejifungua salama. Kupitia ukurasa wake wa Instagram...
5 Reactions
8 Replies
414 Views
Mwanamuziki na mwigizaji Ariana Grande anapanga kupunguza kwa kiasi kikubwa shughuli zake za hadharani baada ya kukamilika kwa ziara yake ya Eternal Sunshine Tour, huku mwakilishi wake akisema...
1 Reactions
0 Replies
174 Views
Habari ya ukweli kabisa Na Mmiliki wa cave Disco. The sound of Serengeti Anaanza Kwa kusema Mimi nilikuwa nafanya kazi AICC kama Director of Conferences and Marketing, na wakati huo naendesha...
7 Reactions
20 Replies
533 Views
Sugu anadai: Walianza kuniita kwenye wimbo, Madee alinipigia simu tukaenda studio, sasa tunatoka studio aliponishusha akanitumia mkwanja Milioni 2, I was like mimi sijawahi kulipwa hela kufanya...
10 Reactions
44 Replies
1K Views
Sababu kuu 1.Anaimba uhalisia wa maisha na uwanadamu 2.Anayaishi anayoyaimba 3.Nyimbo zake ni MHIMU kwa Rika zote wazee kwa vijana nk bila kujali Zinaburudisha kivipi 4.kwaujumla zina witicism...
4 Reactions
52 Replies
676 Views
Shogile, Mama kija, Zuhura, AKA Zuchu, mwenye mahaba yake mjini, anayejua kutunza mume, anayeweza kumtuliza Mondi, aliyedai yeye ni king'ang'a haswa, kwani anamganda anayemganda ambaye ni Mondi...
15 Reactions
65 Replies
2K Views
Nimeona wanaoenda mikoani ni wanaume tu ila wanawake kama Jide, RC, Ruby, Maua Sama, Zuhura mrisho wote siwaoni. Au mfumo dume? Sikilizeni hizi hapa...
4 Reactions
69 Replies
990 Views
Kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya Kiislamu mwanaume kuoa mwanamke zaidi ya mmoja ni Sunna ya Mtume Muhammad. Na inatajwa kwamba mwanamke anae mruhusu mume wake kuoa mke wa pili anapata thawabu...
7 Reactions
38 Replies
869 Views
Leo ilikiwa baby shawer ya Zuchu baada ya jana kuachia picha akiwa mjamzito. Leo wameonesha kiwa tumboni kwa Zuchu kuna baby girl
5 Reactions
22 Replies
537 Views
Yuko wapi huyu mdada Lissa hajaonekana mda mrefu sana si mtaani wala mitandaoni Ikumbukwe lisssa alikua mdau wa utalii wa ndani Tz miaka ya 2011 pia aKawa manager na mke wa mabeste msanii wa...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Kasomea kozi zote duniani na ni mfano halisi wa msemo mwanaume hachagui kazi.
2 Reactions
9 Replies
418 Views
Nadhani toka nchi ya Tanzania Imezaliwa mwaka 1961 hakujawahi kutokea album Kali ya Kundi la Hip hop Kama ile iliyokuwa na vichwa vitatu waliotengeneza Kundi linaitwa wachuja nafaka lakini pía...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Mkongwe wa Hip Hop Bongo, Sugu amefunguka kwanini hayupo katika mpango wa kuhadhimisha miaka 30 ya Bongofleva. Amesema Madee alimtafuta na kumuomba ashiriki katika wimbo wao kwa ajili ya mradi...
4 Reactions
3 Replies
287 Views
Takriban miaka sita baada ya muigizaji huyo wa filamu ya Black Panther kufariki dunia kwa saratani ya utumbo mpana, kaka zake, Kevin Boseman na Derrick Boseman, wamewasilisha kesi mahakamani kwa...
0 Reactions
3 Replies
278 Views
Huyu mwamba unaambiwa baada ya upelelezi wa kina kufanyika imebainika kesi alisingiziwa hakuna ukweli wowote! Swali la kujiuliza je yale mafuta ni kweli aliyaweka ndani na kwa minajili gani...
5 Reactions
13 Replies
411 Views
Mfanyabiashara maarufu wa magari nchini, Ndugu Dotto Magari anatarajiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari, kuzungumzia na kufafanua masuala ya kitaifa na Kimataifa. Wote mnakaribishwa.
9 Reactions
93 Replies
5K Views
Habari wadau. Kuna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA. Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm Amepata...
53 Reactions
371 Replies
26K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…