PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 418
- 553
Msanii wa Tanzania, Diamond Platnumz na Mkewe Zuchu wamethibitisha ujio wa Mtoto wao baada ya Diamond kuchapisha picha ya kuwa Zuchu amejifungua salama.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond ameandika "Welcome to the world, our precious little angel. You are already loved more than words can ever say!"
"Karibu duniani, malaika wetu mdogo wa thamani. Tayari unapendwa kuliko ambavyo maneno yanaweza kueleza."
Soma: Zuchu na Diamond wanatarajia kupata mtoto wa kike
Ujio wa Mtoto huyo unakuja siku chache baada ya wawili hao kufanya Baby Shower, ambapo walikuwa wakisubiri kumpokea Mtoto wao wa Kike, hadi sasa jina la Mtoto havijatangazwa rasmi na Wazazi hao.