Yule Kijana mdogo kwenye Tasnia ya Bongo fleva Abdulazizi Chande 'Dogo janja' ambaye wiki kazaa zilizopita amejikaza ubongo na kuamua kufunga ndoa na Diva kwenye tasnia ya BongoMovie mwanadada...
Baada ya Rose Muhando kupotea kwa muda mrefu kwenye ulimwengu wa muziki wa injili, aliyekuwa meneja wake, Alex Msama amefunguka kumrudisha kwenye chati kama zamani kwani hivi sasa amebadilika...
Ndoa ya Irene Uwoya na Dogo Janja yabainika kuwa reel na sio real, Uwoya ampora Wema dili la million 400 toka kituo kikubwa cha TV barani Afrika !
Nyuma ya sarakasi ya kile kinachosemekana ni...
Baada ya kutafuta mtoto kwa kipindi kirefu hatimaye, mwanamitindo happiness magese maarufu kama ladivamillen amepata mtoto wa kiume aitwae kairo.
Hongera sana Millen Mungu ni mwema na wakati wa...
kusema ukweli huyu mtangzaji wa power break fast yuko vizuri sana I think IQ yake na emotional intelligence yake iko juu sana compared to her colleagues......Big Up Mdada
Nani mbabe & nani mrembo kwa hawa watu watatu
1. Kalapina
huyu mshikaji anafahamika kwa ukorofi lani nguvu jiwe.. ona video hapo chini alivyo mfanyaga chidbeenz maisha club
Mzee wa kikosi...
Siku za hivi karibuni msanii Joti aliweka mtandaoni picha akiwa na binti yake. Watu wengi walidhani huyo binti ni mtoto wa joti na mkewe ila mchekeshaji steve nyerere kwa kukurupuka kaandika...
Wakuu habari zenu humu. Nina shida ya nyimbo ya Jide, Nuru. Kwa mwenye link mtandaoni anipe. Nimeitafuta sana mitandaoni bila mafanikio. Kwa mwenye nayo nikimpa hata namba anirushie whatsaap...
Mange amshambulia Lulu juu ya kesi ya kanumba. Inasemekana sababu kubwa ni ukaribu wa lulu na hoyce temu ambaye ni adui wa mange.
Mange alipotoa ushauri wa lulu kukaa nje ya media alitegemea lulu...
Mamlaka ya udhibiti wa Chakula na madawa TFDA jana imetoa tamko la kuzuia utumikaji wa maji ya Lady Jaydee mara moja baada ya taratibu za usajili wa maji hayo katika mamlaka hiyo kutofuatwa...
Bora rais wa wambea soudy tangu mwanzo hakuamini ubuyu huu ulioonesha dalili za uchachu
Msanii keisha katoa post akiwashukuru wana tip top wenzie kwa ushirikiano walioutoa kukamilisha shooting...
Am hip hop fans from all over the world, kwa Tanzania ukiachana na fid q, mwanafa, niki wa wote na wengne kibao KUna wanasanii hawa wawili, young killer na yangi d almost watatu iv lkn huyu...
Huko insta kumenuka baada ya mashabiki wa Hamisa kuwashtaki danube Tanzania kwa kumzalilisha hamisa pia kwa kumtumia zari kwenye ufunguzi wa duka lao Tanzania huku wakijua sio mtanzania,hana...
Nilikua najaribu kumtazama mbwana samatta leo nikagundua jamaa sio kwenye mpira tu hata kwenye mavazi yuko vizuri sana tena kushinda hawa mabishoo wa bongo fleva, Na tena sio mavazi tu hata Gari...