Hizi sasa sifa; Baada ya kolabo na Rick Rosey, Diamond kuja na kolabo na Omarion


Chachu Ombara

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Messages
5,294
Likes
5,638
Points
280
Chachu Ombara

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2012
5,294 5,638 280
Kwema wana,

Yule mwanamziki pekee wa kimataifa panapo ardhi ya Nyerere, Diamond Platnumz yupo jikoni akiaanda ngoma nyingine na mkali kunako ardhi ya Trump, USA Baby.

Mtakumbuka kama wiki mbili zilizopita Mond alikuwa akipika hit song na Rick Rosey mwenye midevu yake.

Wale ambao hatujafikisha miaka 30 tutakuwa tunamjua vyema mnyama Omarion (ndiye alikuwa role model wetu) aliyekuwa kundi la B2K chini ya Rapa tajiri duniani P.Didy lakini sio wa JF asiyejua kuandika.

Wakati Diamond akiipeleka Bongo fleva duniani kuna kajamaa kenyewe kanashinda kijiweni kuvuta shisha na kula mirungi huku kakisubiri mwisho wa wiki kakagombee mic na Mwamba Geu , S Kide mtoto wa mama Shamte fiestani.


omarion-png.619347

 
LUCKDUBE

LUCKDUBE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Messages
1,533
Likes
2,920
Points
280
Age
91
LUCKDUBE

LUCKDUBE

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2016
1,533 2,920 280
Jamaa alirithi nyota ya kanumba
 
haruny

haruny

Member
Joined
Oct 9, 2017
Messages
88
Likes
59
Points
25
haruny

haruny

Member
Joined Oct 9, 2017
88 59 25
Huyu ni mzee wa distance ngoma moja ambayo siifutagi ktk cm yangu keep it up boy
 
utandu

utandu

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Messages
1,790
Likes
2,832
Points
280
utandu

utandu

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2014
1,790 2,832 280
Yani diamond anafanya collabo na wasanii zulipendwa
 
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
6,326
Likes
2,007
Points
280
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
6,326 2,007 280
Hapa ndipo Diamond anaponiacha hoi, yaani anafanya kolabo na mtu wa nje cha maana wanachokifanya hao watu ni kutaja neon moja tu kama vile 'oooo' 'uuuu' 'waaaa' 'haaaa', 'you know what', 'Hey Yo', wabongo wanaona ujiko, this is beyond stupidity? Unamlipa mtu so much money kuuza sura tu?
 
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
7,894
Likes
7,574
Points
280
Age
30
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
7,894 7,574 280
Ifike wakati mtu ukimwongelea diamond usimtaje kiba na ukimwongelea kiba usimtaje diamond.
Mbona akiongelewa msanii mwingine anaongelewa bila mwingine kupondwa.
Wote wetu wote wako vizuri
 

Forum statistics

Threads 1,237,564
Members 475,562
Posts 29,293,762