Hapana shaka hata kidogo mziki wa Bongefleva umepanda chati kwa kasi sana kimataifa hasa barani afrika na wanamuziki wake wamekuwa na ushawishi mkubwa katika kiwanda cha muziki ndani na nje ya...
Wasafi tv haijaja kushindana na mtu bali imekuja kuongeza nguvu kukuza tasnia ya sanaa na burudani' ...amesema diamond baada ya kuulizwa kuusu minongono ya kushindanishwa na kituo fulani kizee cha...
TMZ inaripoti kuwa Rick Ross kalazwa spitalini huko Miami na yupo kwenye life support.
==============================================
Rick Ross has been hooked up to a machine that's taking...
Na Sifael Paul
WILLIAM Malecela a.ka Le Mutuz ambaye anatajwa kuwa ni mtoto wa mwanasiasa mkongwe Bongo, John Malecela ambaye anadaiwa kuwa ni funga kazi kwa kupenda kupiga picha na wanawake...
Hili ndilo 'tamko' la meneja wa Diamond Sallam' kupitia IG page yake kupitia kufungiwa nyimbo 2 za msanii wake. Sasa naunga mkono maneno ya Shigongo hawa Managers wake hasa huyu Sallam...
Pichani mwenye tshet nyekundu ni baba yake mzazi Ommy Dimpoz ambapo Amesema mwanae huyo amemtelekeza miaka Mingi licha ya Dimpoz kusifika kwa kula bata nchi mbalimbali duniani.
Baba Dimpoz ana...
Ndugu wanaJF, nimejaribu kuutazama kwa umakini sana wimbo wa Diamond Uitwao Hallelujah, kimsingi sijaona tatizo lililofanya wimbo huo kufungiwa.
Huku ni kutaka kuuwa vipaji vya wanamuziki wetu...
Kumekuwa na tetesi kadhaa zinazomuhusisha Mbongofleva Alikiba kufunga ndoa ya kimya kimya nchini Kenya.
Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa kwenye website ya Ghafla, Alikiba anatarajia kufunga...
Msanii Roma anaeunda kundi la ROSTAM amefungiwa kutokujihusisha na sanaa kwa muda wa miezi sita ikiwa ni kama adhabu ya yeye kutokutii agizo la baraza la sanaa tanzania (BASATA) la kufungiwa kwa...
Babu yangu(RIP) aliwahi kuniambia kuwa hakuna marehemu mbaya. Yaani mtu akishafariki ni ngumu na ni mara chache mno kuzungumziwa mabaya yake. Kinachotawala huwa ni mema ya marehemu tu!
Mowzey...
Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza amemfungia msanii Roma Mkatoliki kutojihusisha na tasnia ya muziki kwa kipindi cha miezi sita.
Akizungumza leo Machi 1, 2018 na...
Matonya amefunguka kuhusu tuhuma zilizosambaa kuwa amekamatwa na Madawa ya Kulevya nchini China akisisitiza kuwa sio kweli na wala yeye hajawahi kujihusisha na biashara hiyo kwenye maisha yake...
Wakiokuwa wanapiga kelele eti ETV hawachezi ngoma za WCB,hicho kitu hakipo...sasa nguvu ya ETV+WASAFI....Clouds mtaomba poo mwaka huu na roho zenu mbaya.
Muda huu hizi picha ni Ngoma ya Diamond ETV
Mzuqa SIZONJE's slaves!
Kwani crazy GK aliwakosea nini AY na Mwana FA? Walikuaga Benet Sana. Hata kwenye harusi wamemtenga.
Harusi ya AY iliyofanyika Golden Tulip
Wakati style ya kubadili rangi ya nywele zao na kuweka rangi tofauti tofauti ikiendelea ku-trend, Mwana FA hajakaa kimya katika hilo.
Katika moja ya picha za Ommy Dimpoz ambazo anaonekana na...
Nyota wa muziki wa pop nchini Marekani Madonna amesema kuwa mwanawe David Banda atakuwa rais wa Malawi siku zijazo katika ujumbe aliouchapisha katika mtandao wa Twitter akimsifu mvulana huyo...
Bollywood Super star Sridevi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
=======================================
Muigizaji wa kwanza wa kike kupata umaarufu zaidi kwenye soko la filamu nchini India...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.