salaam sana.naomba niwataje wasanii wa muziki (hususan bongo fleva) ambao naamin hawastahili kuwasahau kwa vyovyote vile watayarishaji wa muziki(producers) kwakua wametoka nao mbali
1.Ali...
Aman iwe nanyi wakuu wa jukwaa
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Kati ya huu mgogoro unaondelea chin chin kati ya wasafi na clouds nimegundua NGUVU YA UMMA IKO NYUMA YA DIOMOND...
Watu wa mikoani malalamiko yenu nimeyasikia ila na mimi nina ya kwangu pia naomba myasikilize kwa umakini ili tuweze kwenda Sawa .
——————————————————————————————————————————————————————
Ukitoa...
Nakumbuka mwaka 2001 kwenye chati ya nyimbo kumi za Bongo Fleva kwenye kituo cha Radio One Stereo, pale mtangazaji wa kipindi hicho alipoitangaza ngoma iliyoshika nafasi yakwanza.Mtangazaji...
Muimbaji wa muziki raia wa Norway, Makihiyo ameachia nyimbo iitwayo ‘Ni Wako’ akiwa amemshirikisha mkali wa muziki wa R&B Bongo, Ben Pol. Huyu mzungu anasema sababu ya kuimba kwa Kiswahili ni kuwa...
Mtambo unawashwa sio muda mrefu.tuanze kupendekeza majina ya watangazaji wa media yetu wanyonge tumsaidie president wa WCB.
Mapendekezo yangu
Kipindi Cha muziki wa kisasa akae Sky walker...
Niende moja kwa moja kwa huyu mwamba joslini mzeee Wa pafyumu yaani alitikisa balaaaa na baadhi ya nyimbo zake kama niite mpenzi,mshikaji mmoja,maisha yanatisha ft nuruel,huyu demu simwelew ft...
Salute comrades..
Leo namleta kwenu mchekeshaji na mwigizaji maarufu kutoka Afrika kusini Leon Schuster aka Mr bones.
Kwa wapenzi wa filamu basi watakua wanamfahamu huyu jamaa .
Anaitwa Leon...
February 19, 2018
Mwanamitindo maarufu Nchini Tanzania amealikwa ktk Makazi ya Malkia Buckingham Palace ya London Uingereza. Mustafa Hassanali amepata nafasi ya kualikwa kuhudhuria maonesho ya...
Kila nikimsikia akifanya ' mahojiano ' yake ya Media mbalimbali hapa Madafuni / Tanzania utamsikia Msanii Ben Paul akitamba / akijifaragua / akijishebedua / akijimandingondingo kuwa Yeye ni Mfalme...
Msanii wa Filamu Bongo, Irene Uwoya amefunguka kuhusu tabia ya baadhi ya wanawake kutopenda mafanikio ya wazao badala yake wapo tayari kushuhudia wenzao wakishindwa.
Muigizaji huyo amesema watu...
Salaaam wanajamvi.
Kwa wale watumiaji wenzangu wa mtandao wa kijamii wa instagram wengi wenu mtakuwa mmemfollow mwanadada machachari anaeweza kuikosoa serikali bila woga:- Mange Kimambi...
Divorce act inahusu watu walio nje ya ndoa pia: NENO TARAKA LIMETUMIKA KWA KUKOSEKANA KWA TAFSIRI YA KISWAHILI
NOTE: PLEASE, SOMA ARTICLE NZIMA KABLA YA KU COMMENT ILI KUELEWA MADA.
Vyanzo vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.