hints:
*he is a well known businessman/investor in africa.
*there was a time, forbes magazine featured his name on africa's top billionaires
*he is a low profile kind a man,doesn't mind showing...
Nahisi kama mziki wa Dance unataka kurudi tena juu na kama ambavyo kwenye Bongo Flavour kuna ushindani wa Diamond na Kiba basi huku kwenye Dance kutakuwa na Papii Kocha na Christian Bella, na kama...
Nimekua nikiona post zake mara kwa mara akisema single life na akishauri wanawake wenzake kutokukaa kwenye ndoa zenye matatizo,hizi statement mbili hizi zinaonyesha kuna walakini kwenye marriage yake.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mwanamuziki Diamond Platnumz leo hii ameweka picha ya mama yake mzazi na kumsifu kwa maneno matamu katka kuadhimisha siku ya wanawake duniani.
Katika maandishi...
Msanii Mimi Mars amefunguka sababu ya Vanessa Mdee kuzushiwa kuwa ni mjamzito.
Muimbaji huyo ambaye ni ndugu na Vanessa Mdee ameiambia Funiko Base ya Radio Five kuwa ulaji wa Vanessa ni miongoni...
Kwako mrisho mpoto,
Imekuwa ni muda sasa toka tukupe nauli,pengine tingo alikupitiluiza kituo.
Maana umepita muda sasa,pengine uliogopa kushuka kwa sababu kulikuwa na mvua tena ya mafuriko ya damu...
Nnje ya mziki biashara ya matangazo kwa makampuni makubwa imekuwa inalipa wasanii wengi na hivi majuzi Diamond amevuta mkwanja wa Billioni 1 kukitangaza kinywaji cha ufaransa cha Bllaire
Lakini...
Leteni habari zao walipo na impact yao. Ningeongeza Unique Sisters na makundi mengine yaliyokuwa yanavuma 1990-2000
Itakuwa si vibaya mkatupa habari za kumbi kama Langata, gazeti la Sani, akina...
Huyu mama anafukuzia miaka 80 sasa na sauti yake inaanza kuchoka,
Lakini ameutendea haki wimbo mgumu ambao wasanii vijana wengi hawawezi kuuimba.
Uwezo kama huu tunategemea mtu akifika miaka kama...
Hatimaye sasa wcb na efm wanafanya kazi pamoja ili kuupeleka muziki wetu kimataifa. Leo alikaribishwa msanii wa wcb baada ya muda mrefu ili kufanya interview.
Wale wanafki wanaoendelea kubana...
Harmonize ameupasua mtandao wa Instagram kwa mshangao baada ya kuweka wazi bei ya zawadi ya saa ya mkononi aliyonunuliwa na mpenzi wake, Sarah.
Kupitia kipande cha video alichoweka akiwa...
Salaam
Kuna ili kundi la muziki la kizazi kipya linajulikana kama THE MAFIK kwa mara ya kwanza niliwaona wakipiga live(siyo playback) pale Zanzibar na limekuja kwa kasi kuteka mashabiki wa...
Akiwa ameweka vionjo vya nyimbo zitazopatikana kwenye album yake mpya ya a boy from tandale.
Washabiki wamepagawa sana wakionyesha mzuka wa hali ya juu.
Leo ameweka nyimbo alizoimba na Lavalava...
Ikiwa kuna kitu kinasubiriwa kwa hamu sana ni JACKIE CLIFF kuachiliwa jela alikofungwa kule China.
Sema atahit headlines Sana akirejea bongo alafu wengi tumejipanga kuenda kutafuta kick pale...
Msanii nguli wa filamu Tanzania Blandina Chagula alimaarufu kama Johari amefunguka na kuweka wazi sababu kubwa inayomfanya ashindwe kwenda kumtembelea msanii mwenzake wa filamu Lulu Michael...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.