Hii ya Sugu ya mwaka 1996 ni hatari

Sugu mistari yake ni halisi sana. Anatafuta zaidi kusema ukweli kuliko kutafuta manjonjo na vina. Dikiliza mikononi mwa polisi.
 
Daah japokuwa sijaipakua hiyo video, jamaa noma sana..ametisha ile kinomanoma
 
Hebu angalia hii video ya sugu show ya mwaka 1996 mnazimmoja Dar es salaam kweli Sugu ni mwanaharakati toka zamani
Duh ! mwaka huo ndo kwanza nipo darasa la kwanza kumbe sugu mkubwa hivyo na ni mwanaharakati haswa kitambo
Kama ni hivyo sugu ndo mwanambongofleva wa kwanza kuonekana katika KIDEO na kipindi hiko ni CTN na DTV ndo mpango mzima baadae ndo ikaja ITV then ITV 2
 
Sugu ndo wa kwanza?..wakati diplomatz ya kina saigoni inatamba kwenye TV sugu alikua mbeya na wewe ulikua kwenu milima uluguru unasaidia wazazi wako kulima mpunga..hata Kr mullar alianza kuonekana kwenye video kabla ya sugu..hata nikikuambia cheza mbali na kasheshe utanielewa basi ngoja nikupotezee tu
 
Ngoja nikupotezee tu kwanza enzi hizo miaka 90s kwenu hakukuwa hata na kideo michezo yako ilikuwa kama hii
3154ec37038227feb8cd767667fdb8ac.jpg

Utajuaje mambo ya CTN na DTV enzi hizo Cartoon nertwook na LION KING ndo habari ya mjini
Ujaniekewa hata kidogo na huwezi kunielewa kabisa nipotezee tu bwanamdogo
 
Duh ! mwaka huo ndo kwanza nipo darasa la kwanza kumbe sugu mkubwa hivyo na ni mwanaharakati haswa kitambo
Kama ni hivyo sugu ndo mwanambongofleva wa kwanza kuonekana katika KIDEO na kipindi hiko ni CTN na DTV ndo mpango mzima baadae ndo ikaja ITV then ITV 2

1996 upo std1 Miss moro ,,shule gani,,msamvu ,,mtawala au mwere
 
Ngoja nikupotezee tu kwanza enzi hizo miaka 90s kwenu hakukuwa hata na kideo michezo yako ilikuwa kama hii
3154ec37038227feb8cd767667fdb8ac.jpg

Utajuaje mambo ya CTN na DTV enzi hizo Cartoon nertwook na LION KING ndo habari ya mjini
Ujaniekewa hata kidogo na huwezi kunielewa kabisa nipotezee tu bwanamdogo

We kweli miss moro..ya dar tuachie wenyewe
 
Back
Top Bottom