Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ukiangalia waimbaji wa nyimbo za kiimani angalau wakatoliki na wasabato na baadhi ya kwaya kubwa hasa AIC na KKKT. Nikiangalia hii channel inaitwa Star Religion wanaonyesha nyimbo za injili...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Daddy is coming!??? Meneja wa WCB, Sallam SK amesema suala la nyimbo 2 za Diamond kufungiwa na BASATA wiki iliyopita hawezi kuliongolea kwa kuwa tayari wamelifikisha kwa Mlezi wa Lebo hiyo ambaye...
0 Reactions
48 Replies
10K Views
Wema Sepetu amesema kwa sasa ameshamaliza tofauti zake na Diamond Platnumz na kuwa kwa sasa amekuwa Boss wake kwa kuwa amemuajiri Wasafi TV Wema amesema hawana uhusiano wa mapenzi ila wanapeana...
7 Reactions
135 Replies
21K Views
Habarini wakuu, kwa muda sasa wasanii hapa Tanzania wamekuwa wakilalamika kuhusu kitu kinaitwa HAKIMILIKI na imekuwa shida sana kufanikiwa, kila siku wanapigwa danadana, shida hasa imekuwa wapi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Za muda huu wanajamvi, najua mko poa na kwa wengine wenye mushikhir na miili yao MUNGU awaponye. Kama heading inavyosema, najua kuna wahusika mko humu jamvini, BASI HUU UZI NI WA KWENU. Nianze...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Mfalme wa singeli nchini Tanzania, Msaga Sumu amefunguka na kumtaka rapa Fid Q akae kimya kama alivyofanya mwenzake Afande Sele kuliko kuonesha wivu na roho mbaya yake katika kuzungumzia vitu...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Huyu dada huwezi mfananisha na celebrities wa kike wa kizazi hiki,kuna nyimbo zake ukizisikiliza,hata ulikuwa na mawazo yanaisha,,Mungu amlinde tu,maana matatizo ni kwakila mtu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani mnaofahamu Oscars ni kitu gani nisaidie kuielewa. Inahusu nini hasa, it is a highly celebrated and placed event in the USA and perhaps around the world! Naweka link ya washindi wa mwaka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Habari wakuu, Nimeona baadhi ya posts humu JF watu wakitaka kunitahamu. Nimeona kistaarabu nije na kueleza mwenyewe wasifu wangu. Kwa jina naitwa ‘Carol Ndosi’, jina la Serikali Caroline Moses...
73 Reactions
137 Replies
41K Views
As the evening approaches, Kenyans look forward to prime time news. While it is the content that keeps most of them glued to their screens, quite a reasonable number of individuals have confessed...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Msanii wa filamu nchini Wastara Juma amedai baada ya kufanyiwa vipimo vyote nchini India amebainika kuwa na tatizo kwenye fuvu lake la kichwa ambapo hilo ndio lililokuwa likimfanya akose usingizi...
1 Reactions
43 Replies
7K Views
Hawa watu huwa wanatumia vigezo gani kuja na hizi habari? Mi nauona kama mwendelezo wa team ambazo zilishaanza kufifia!
0 Reactions
37 Replies
27K Views
Dar es Salaam. Msanii wa filamu, Wastara Juma amerejea nchini leo akitokea Mumbay nchini India alikokuwa anapatiwa matibabu ya mgongo na mguu na kuwashukuru Watanzania kwa namna walivyojitokeza...
3 Reactions
156 Replies
16K Views
Wakuu, huyu kijana wa WCB rayvanny ana striking resemblance na yule mchekeshaji wa kwenye mitandao anayejiita dulvani. Swali langu kwa wanaowafahamu, je hawa jamaa ni ndugu? Asante.
0 Reactions
26 Replies
12K Views
Ukiwaona kwenye video ni tofauti na maisha yao halisi.Why?
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo imenipendeza kumzungumzia huyu mkali wa "kunata na biti!" Kumbuka sio kila mwenye uwezo wa kunata na biti ni mwanamuziki mzuri. Huyu ni msomi, tena miongoni mwa wasanii wachache sana...
11 Reactions
96 Replies
12K Views
Orodha ya wasanii wanaotoka katika kundi la ukapera inazidi kupungua kila kukicha – Alikiba anadaiwa kutaka kufuata nyayo hizo. Msanii huyo ametajwa kutaka kufunga ndoa na mrembo huyo...
1 Reactions
37 Replies
10K Views
Tarehe 03/03/2018 ndio tarehe rasmi ambapo ule ubishani pamoja na tambo zinazoendelea kwa kila kati ya Deontay Wilder (BronzeBomber) na Luis Ortiz (King Kong). Hili pambano lilibidi lipigwe tangu...
2 Reactions
38 Replies
6K Views
Hongera kwa kufungua radio na tv. Hongera kwa kutumia vyema wakati wako... ukipata wakati uutumie vyema Waswahili wanasema ukishikwa shikamana. Kweli Diamond alishikwa na akashikama kiasi cha...
6 Reactions
37 Replies
5K Views
Msanii wa Bongo Fleva Linah Sanga maarufu kama 'Ndege Mnana' amefunguka na kuweka wazi kuwa huwa anafanya makusudi kuvaa nguo za nusu utupu 'fupi' akiwa kwenye show ili aweze kuwapagawisha watoto...
0 Reactions
32 Replies
10K Views
Back
Top Bottom