Hawa wasanii was bongo flava sina Imani kwa sababu naheshimu kazi zao ila inabidi waelekezwa kuhusu jinsi ya kuhimudi uimbaji wao.
Nuh Mziwanda, Shilole, Giggy Money na Young D
mkali kutoka tamaduni music wa kuitwa p the mc AKA P mawenge
juzi kati kaachia ngoma yake mpya inaitwa NOMA MWANANGU
kwangu ni bonge la nyimbo japokua idea yake aloitumia inafanana na ile...
Nimeiona instagram, Diamond ametoa offer ya watoto 10 wakiambatana na wazazi wao kwenda kujumuika na Latifa katika sherehe yake ya kutimiza miaka mitatu ya kuzaliwa.
Ninahisi mmoja wa watoto...
Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi @II Proud Mr II Sugu, akihojiwa na Gazeti la Mwananchi jana ofisini kwao, alikiri wazi kuwa, yeye hana uwezo wa kuandika neno "Zinjanthropus"...
imeanza kufuatilia stori za hawa watu hasa kipindi kile cha msiba namna zilivyo trend kwenye mitandao ya kijamii.
Lakini leo nimeshtushwa baada ya kusikia yule mama wa marehemu ameitisha press...
Hii nyimbo mpya ya gigi inayoitwa Kiki ni gigi
gigi kanikomesha ukchukia unajipa tabu angalia video utaona Cardi b hamuwezi Gigi
nimeamka kukera watu leo
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba nimtakie kijana wenu katika safari yake mpya ya kiimani.....hopefully sasa lazima hawe kama diamond
Mapenzi ni kitu ingine..
Diamond adaiwa kuwa ame copy na kupaste wimbo wake mpya was baila kutoka wimbo original saans.
Alichocopy inadaiwa mavazi na location ya video shoot
Hii si mwanzo zingine kama
Wimbo wa kidogo (...
Habari za jioni wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, ni muda mrefu nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa muziki mtamu na wenye ladha tamu kutoka Africa ya Magharibi(hasa Nigeria.
Kiukweli...
Hivi Babra Hassan ana mimba ? Mbona siku hizi amekuwa mkali sana? Kitu kidogo tu akitaniwa anafura redioni na kutoa maneno makali, Anashindwa kwenda sawa na Masoud Kipanya na kufanya kipindi...
Yule presenter maarufu na mwananadada gang,Salama J amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost picha ambazo zinaonekana kuwa amechoka,kubwa kabisa ni pale anapoonekana kama busta ya kutaka kifua...
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imesema itatoa amri endapo msanii wa filamu nchini Wema Sepetu atashindwa kuwasilisha uthibitisho wa nyaraka za matibabu yake.
Hatua hiyo imetokana...
Nimefatilia sana hawa wasanii wa kike waliopata kuwa na majina makubwa tangu zamani kama Ray C, Mwasiti, Linah, Rachel, Vumilia, Qeen Darlin, Pipi, Shilole, Snura, Vanessa Mdee, Ruby, Maua Sama...
Muimbaji wa muda mrefu wa kwaya ya Ambassadors of Christ, Mr. Nelson Manzi pamoja na mke wake Eunice wamepata mtoto wa kike, taarifa toka kwa ndugu wa karibu wa familia hiyo ametupa habari...
Huyu jamaa kweli ni mwendeshaji mzuri wa kipindi cha Morning Magic akiwa na wenzake akina Kibwana Dachi Mkambala, na Mary Edward.
Tatizo lake ni kuongea maneno ya Kingereza kila baada ya...
Awali ya yote naomba nitangaze "mahaba" yangu (decralation of interest) kwa mwanamuziki nyota nchini Ali Kiba, kwamba mimi ni mshabiki wako wa kutupwa. una sauti nzuri, una kipaji cha hali ya juu...
Wakuu huyu jamaa kila igizo lao la futuhi nikiangaliaga namuona kavaa mshati mkubwa unaoweza kufunika hata VITZ 3.
Mi mashati yake nikiyaonaga yanachekesha sana mara vifungo vimepishama mikono...
Picha iliozagaa katika mtandao wa facebook, ikimwonyesha mtangazaji mashuhuli wa idhaa ya kiswahili ambae ni raia wa Tanzania; Salim Kikeke imezua mjadala mzito. Picha hiyo ambayo Kikeke...