Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ni kwanini hamna hata mmoja ambaye ameenda maana kujenga msikiti tu haitoshi
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Msanii nguli wa Hip Hop, Emmanuel Elibarik maarufu kama Ney wa Mitego anadaiwa kupokonywa magari mawili aliyokuwa ameyachukua kwa mkopo baada ya kushindwa kurejesha mkopo huo
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Dar es Salaam: Mwanamitindo Jokate Mwegelo amegeuka ‘Mbogo’ baada ya kuulizwa habari inayohusiana mwanamuziki Ali Kiba. Jokate Julai 26.2018 alitia timu katika arobaini ya mtoto wa mtangazaji...
3 Reactions
146 Replies
20K Views
Mzazi mwezie na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Zari ameukataa ugeni wa mastaa wa filamu kutoka Tanzania Wema Sepetu na Aunty Ezekiel. Marufuku hiyo ya Zari imekuja masaa...
2 Reactions
26 Replies
9K Views
Wanandugu sasa naweza kuruka na atcl;nilikuwa nailaani sana hasa baada ya kushindwa kunisafirisha miezi iliyopita;majuuzi niliamua kwenda mwanza hakika walinifurahisha tangu huduma za ndnai mpaka...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Mama mzazi wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers, mtunzi mahiri wa hadithi, mjasiriamali na motivational speaker, Eric Shigongo, Asteria Kapela amefariki dunia alfajiri ya Ijumaa, Julai...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
 Wanasema ilianzia kwenye video ya wimbo wa ‘BLACK OR WHITE’ Ujumbe wa siri unao patikana kwenye wimbo huo ni kwamba Michael Jackson anawaambia Illuminati wao na yeye sasa ni basi. Katika wimbo...
4 Reactions
25 Replies
7K Views
Nikiwa nasherehekea ujio wa mtoto wa tatu katika Ndoa Yangu nataka niandike haya machache katika jukwaa hili ili ndugu yangu shemeji yangu Rayvanny uokoe roho yako. Mambo mengi yametokea huko...
4 Reactions
49 Replies
8K Views
Hii ni miongoni mwa filamu ya kibongo ambayo uwoya alifanya vizuri mno
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu hivi yule Godwin Gondwe Mkuu wa Wilaya ya Handeni alikuwa pedeshee hapo nyuma kabla ya kuwa DC? Nimemskia kwenye kibao cha Papii Kocha na Mzee Viking kiitwacho Seya.
2 Reactions
20 Replies
8K Views
1. Mc Lyte, 1991 My mother put me in weusi shule which means black school in swahili MC Lyte kwenye ngoma ya krs 1 heal yourself. 2. Nas na Damian Marley, 2010 Nas and I can speak rap star Y'all...
15 Reactions
223 Replies
39K Views
Habari za week end wadau, Kwa wale mashabiki wa mziki wa dance nchini,hasa bend za Fm Acadamia,Twanga pepeta,Malaika Bend,Acudo impact,Mashujaa band,Msondo Ngoma,Sikinde n.k mtakua mashahidi...
5 Reactions
161 Replies
34K Views
Pengine nilikua najidanganya, mara zote ninapoangalia picha ya msanii mmoja kati ya hawa wawili, nilijisemea moyoni kwamba kuna kitu wanafanana, sio kwa rangi kiasi lakini kipo wanachoshare kama...
0 Reactions
63 Replies
11K Views
Harmonize msanii wa wasafi WCB aonekana na furaha sana akiwa na mpenzi wake mzungu Sarah pande za uharabuni Dubai, wakitalii jangwani. Japo fans wanamponda kutoka na huyo mzungu yeye amezidi...
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Wakuu na wadau wa jamvi hili habari! Nilikuwa najaribu kuwaza kwa sauti tu,hivi ni nini kinaendelea pale wcb kuhusu rich mavoko na mpango wake wa kazi...maana wenzake wamekuwa wakiachia ngoma...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza kwa dhati Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda kwa zawadi ya mtoto wa kiume. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akukuzie na akuongoze umpe malezi bora...
13 Reactions
318 Replies
52K Views
Ana nyimbo nzuri sana, ni mtunzi mahiri sana wa mashairi na pia dogo ana muonekano, but siku zote kitu kitakachokufanya aendelee kuonekana wa kawaida na hakui kimuziki ni theory flan inaitwa...
22 Reactions
45 Replies
8K Views
Kwa kweli hali ya msanii wetu inazid kuwa mbaya mpaka anatia huruma. Show zake nyingi zime~flop mpaka team zari wanamwita Diamond the flopnumz yaani hai ni mbaya. Lakini hii kwa maoni yangu naona...
12 Reactions
107 Replies
15K Views
This was my results... At 47th page...lakini hiyo kitu inayozungumzwa at that page is just recent...'IYENA'.... 47 - 1 = !?? The answer would mean how Di is into you compared to other...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Back
Top Bottom