Barbra Hassan unaiharibu Power Breakfast

Greater thinker

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
286
38
Hivi Babra Hassan ana mimba ? Mbona siku hizi amekuwa mkali sana? Kitu kidogo tu akitaniwa anafura redioni na kutoa maneno makali, Anashindwa kwenda sawa na Masoud Kipanya na kufanya kipindi kuonekana kuwa haina Combination nzuri ...

Kwa kipindi kama cha wiki nzima ambapo Babra hakuwepo kwenye kipindi alibaki Fredwaa, Masoud kipanya na Cizar kipindi kilienda poa sana wanataniana vizuri tu kwa flow nzuri kabisa tofauti akiwepo Babra..

Kuna huyu kijana Anaitwa Cizar ni kijana mkali sana ana sauti ya kiutangazaji ana flow nzuri na anayajua mambo vizuri ila huwa anafokewa fokewa sana na Babra redion na hadi humkata Mzuka tunajua kuwa Babra wewe ndio Boss wa PB kwa sasa lakini isiwe kiihivyo sasa wewe mwenyewe Babra ulilelewa na Wakina Masoud Kipanya na Fina Mango kama wangekuwa wana ku Treat hivyo kama unavyo m-treat Cizar usingefika hapo?

Tunajua Cizar alipata shavu la kuwa PB hapo ni baada tu ya kuwa analeta Magazeti ila hadi sasa Babra anamu-acknowledge Cizar kama ' MLETA MAGAZETI ' sio kitu kizuri sana na huwa anamuumbua umbua sana na hata muda mwingine humtishia kuwa atamfukuzisha kazi Wakiwa Hewani kabisa which is not Good....

Na Babra siku hizi amekuwa muongeaji sana tofauti na Enzi za zamani ambapo ye alikuwa anaongea sehemu muhimu tu zinazom fit na kuwaachia Uhuru Pj & Hando ndo mana wali shine vizuri sio sasa utakuta KP anaongea na Fredwaa / Cizar yeye anaingilia kati na kukuta watu wanne wote wanaongea inakuwa kelele sasa...

Naona PM wa Clouds aliangalie hili Na amkanye Babra la sivyo kipindi kinapoteza Muelekeo

NA USHAURI WANGU KWA CIZAR

Kijana yupo na kipaji kama nilivyoelezea mwanzo ila nae inabidi ajifunze ajue kipi cha kuongea na kwa muda gani sio kila kitu aongee japo kuwa anajua hivyo itamfanya Kuteleza kwa vingine maana hakuna anayejua kila kitu na kutamfanya kuonekana wale watu wanaojifanya wanajua kila kitu ' MUCH KNOW '

Big Up kwa MASOUD KIPANYA GENIUS I am proud of you na nimefurahi sana kuona umerudi vizuri kwenye kipindi na kuja na Segments mpya na kali kama ' UPUUZI WA MASOUD KIPANYA ' ni pamoja na ' KUPIGA CHABO ' ...MASOUD KIPANYA KING OF MORNING SHOWS
 
Nitamtetea babra katika hilo.......

Hivyo show ilivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa PB ni serious show iliyo ambatana na utan............ Barbara yupo apo kwenye iyo show kwa takriban miaka nane sasa na KP ni mkongwe so hawewezi kutoelewana kama unavyofikiria wew na kuhusu czar "MLETA MAGAZETI" sio jina la kashfa kama unavyodhani wew Baada ya G hando na PJ kuondoka PB walikuja na style mpya ya kuonesha kama kuna kijana analeta magazeti kutoka mtaani na wana mlipa kutokana na magazeti anayoleta

CZAR wanamuheshim sana na ndio maana walimpeleka Paris juzi juzi apa na alikuwa anatoa taarifa mbalimbali ya vile alivyooviona huko he is very smart kichwani ni boss huyo huyo babra aliyeidhinisha hiyo safari sasa utasemaje BH ana mdharau CZAR kaka??
 
Nmemsikia asubuhi akimfokea Masoud asiendelee kuongea kitu ambacho ameshakiongea tayari. Masoud alifanya hvyo kuonyesha namna gani alichukia baada ya kusikia wananchi wakiiomba serikali ikawamwagilie maji kwny barabara ambayo imetibuliwa na trekta na akawa anawaambia kuwa kwanini wasingeomba lami...

Babra kawa tofauti kabisa aisee jadi anaharibu ladha ya kipindi
 
Davidngonde soma hii kakaa
 
Nitamtetea babra katika hilo.......
Hivyo show ilivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa PB ni serious show iliyo ambatana na utan............ Barbara yupo apo kwenye iyo show kwa takriban miaka nane sasa na KP ni mkongwe so hawewezi kutoelewana kama unavyofikiria wew na kuhusu czar "MLETA MAGAZETI" sio jina la kashfa kama unavyodhani wew Baada ya G hando na PJ kuondoka PB walikuja na style mpya ya kuonesha kama kuna kijana analeta magazeti kutoka mtaani na wana mlipa kutokana na magazeti anayoleta
CZAR wanamuheshim sana na ndio maana walimpeleka Paris juzi juzi apa na alikuwa anatoa taarifa mbalimbali ya vile alivyooviona huko he is very smart kichwani ni boss huyo huyo babra aliyeidhinisha hiyo safari sasa utasemaje BH ana mdharau CZAR kaka??

Kwa hyo BH siku hizi sio Mkali ?Hafoki Hafoki ? Sio busara bwana kumuita ' MLETA MAGAZETI ' hata kama jamaa hajapata mkataba bado so long as ashapata shavu la kuwa kwenye kipindi hilo jina waliminye tu.Na mimi wala sijazungumzia yeye kugombana na Kp ni jinsi tu anavyoendesha mfumo mzima wa Kipindi na hiyo ya kuhidhinisha Cizar kwenda FRANCE haiondoi ukweli kuwa huwa anamfokea sana kwenye kipindi na kumuumbua hewani.
 
Kaka CZAR hafokewi ila ni utani katika kunogesha show braza ukizingatia ni mdogo ki umri so wana mtreat kama mdogo wao kwa kumtania ungeelewa kwanza THEME ya PB usingeshangaa kinachotokea ndugu
 
Unapoenda kufungua radio station or tv station unapewa kibali na TCRA lakin wakati TCRA wanakupa kibali huwa wanataka kujua theme ya kituo chako.... kuna watu huwa wanabeza kuwa clouds imejikita katika burudani wanasahau kuwa hiyo ndiyo theme ya kituo chao na TCRA wanalijua hilo na vipindi vyao vingi vinahusu burudani unlike sahara comm (RFA & Star tv) wanajihusisha na masuala ya kijamii zaidi so kipindi cha tuongee magazeti hakiwezi kuwa sawa na kuperuzi na kudadisi as a segment ya PB.......... again brother ukielewa theme ya PB haitakusumbua kujua nini kinachoendelea
 
Anakera sana huyo Barbara na tabia yake ya kuchanganya Kiswahili na Kiingereza uchwara. Hii ndio sababu kubwa nimeamua kuachana nao na kusikiliza Magic FM.
 
Unapoenda kufungua radio station or tv station unapewa kibali na TCRA lakin wakati TCRA wanakupa kibali huwa wanataka kujua theme ya kituo chako.... kuna watu huwa wanabeza kuwa clouds imejikita katika burudani wanasahau kuwa hiyo ndiyo theme ya kituo chao na TCRA wanalijua hilo na vipindi vyao vingi vinahusu burudani unlike sahara comm (RFA & Star tv) wanajihusisha na masuala ya kijamii zaidi so kipindi cha tuongee magazeti hakiwezi kuwa sawa na kuperuzi na kudadisi as a segment ya PB.......... again brother ukielewa theme ya PB haitakusumbua kujua nini kinachoendelea

Bro mimi ni mdau wa PB Kwa muda mrefu sana tangu haijaanza kuitwa PB enzi za SEVEN na JIMMY KABWE ,Wakaja wakina KP NA FINA na Hando akiwa msoma magazeti wao Mpaka wakaja wakina PJ & HANDO.

So naielewa vizuri sana PB na huyu Babra wa siku hizi si yule Babra wa zamani ambaye hakuwa mkali hivi na kuongea ongea sana alikuwa akiongea sehemu za maana na zenye tija na tulikuwa tukifurahia tu na kuwaachia uhuru PJ & HANDO ndo maana wali shine sana lakini kwa sasa kawa muongeaji sana na mkali ,Just imagine KP Anaongea Fredwaa anaongea muda huo huo na Cizar anaongea muda huo huo mwishowe unashindw hata kuelewa wanachoongea na inageuka kelele anashindwa kwenda na flow za kina KP ...

Na akitaniwa kidogo tu anakasirika na kuanza kufoka tofauti na zamaani Hando & PJ walikuwa wakimtania sana alikuwa akichekaa tuu...

So wakina hando ndo wakawa waanazidi kuongeza chumvi kwenye utani wao tofauti sasa hivi ukimtania tu anafoka hata Cizar/KP anashindwa tena kuendelea Sasa sijui Chanzo cha kubadilika huko ni Kupandishwa cheo au Sijui ana mimba maana tabia hizo huwa zinawatokea baadhi ya dada zetu hawa wakiwa na Ujauzito
 
ndio kina nani hao mnaowatajataja? mnaongelea yule Kipanya mwenye katuni za Mwananchi?
 
Back
Top Bottom