Mtangazaji BBC, Salim Kikeke kadhalilishwa vibaya mtandaoni

Mujumba

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
853
0
Picha iliozagaa katika mtandao wa facebook, ikimwonyesha mtangazaji mashuhuli wa idhaa ya kiswahili ambae ni raia wa Tanzania; Salim Kikeke imezua mjadala mzito. Picha hiyo ambayo Kikeke aliipiga akiwa amesimama na mrembo ambae juzi alitwaa taji la miss dunia, imemsikitisha sana bwana Salim kikeke.

Akizungumza kwa njia ya simu toka Pemba, Tanzania (mapumzikoni) alisema anashangazwa sana na binadamu wenye akili fupi kumdhalilisha kiasi iko.Aliongeza kusema yeye ni baba wa watoto na anampenda na kumweshimu mke wake sana pia anapenda kupiga picha na watu maarufu duniani na hiyo sio mara yake ya kwanza. Ameshangazwa na aliyepost picha hiyo kumfanyia jambo la dharau kiasi hiki.

Alimalizia kusema yeye yote amemwachia mungu.

Attachments

tamimusalim

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
1,825
1,225

mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,530
2,000
Habari uliyo andika na kichwa cha habari ni vitu tofauti. Kajidhalilisha au kadhalilishwa??? Mwambie, muislam kujibaragaza na vijimama vya mtaani si haki. Kama alijidhalilisha na huyo mwanamke, hata ka ni maarufu kiasi gani hiyo ndo haki yake.
Asituambie kuwa ana mke, hata sisi tuna wake zetu pia. Lakini tunaangalia wa kujibaragaza naye
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom